Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

The rule of Law is an essential part of Good Goverment in the societyof Human being.The rule of law is one of the things that differentiate a society of human being from animals societies.Where there is rule of law, relation between people and between goverment and people are governed and guided by law.

A Society tha reffuses to be guided by law is linked to a jungle kingdom, where only the strongest has right. He who commit crime breaks the law deserve purnishment.But not every citizen has the right to decide whether or not a suspect has committed an offence and not every citizen has the right to hand
down purnishment.

Under rule of Law every citizen has the right to arrest suspect and has the responsibility to handle that person /suspect to law enforcement organ(ie police)
From BENJAMIN WILIAM MKAPA Speach on mob-justice which he delivered on 27-04-2001 and reported on DAIL NEWS ON SATURDAY 28-04-2001
 
Usiangalie tu..unaweza hisi sio tz...jamaa analazwa road gari.linamkamyaga na kurudi reverse
Eti huyo chui chui hapo ni engo ipi? Nazungusha simu nyuzi 360° ila bado sielewi.

Hiyo video ni mbaya sana eh? Iki trend nchi nzima inaweza kuwatisha hao nyang'au waache kukwapua vitu vya watu kwa kuingiza baridi?

Noma sana kutolewa kibaka wa mfano..
 
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.


Wewe acha ukuda at least ondosha hizo sekunde za mwisho za sura ya dereva maana atapezwa huko jela japo ndio wanampiga mtuhumiwa wa wizi
 
Eti huyo chui chui hapo ni engo ipi? Nazungusha simu nyuzi 360° ila bado sielewi.

Hiyo video ni mbaya sana eh? Iki trend nchi nzima inaweza kuwatisha hao nyang'au waache kukwapua vitu vya watu kwa kuingiza baridi?

Noma sana kutolewa kibaka wa mfano..
Bora hujaichek..nimeumia na kustaajabu..ofcourse wezi wanarudisha sana maisha ya watu...ila sio kwa level hiyo ya adhabu ..mkono umewekwa shavuni...madini kwa mbaliii😉
 
Back
Top Bottom