Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Watamsaka lazimaJamaa itamcost pakubwa sana.
Wabongo ni watu makatili sana
Wabongo ni watu makatili sana
Sana ,yeye si kajiona mafiaJamaa itamcost pakubwa sana.
Ila seriously ukiwakuta hawa wezi wanavyowafanyia wanaowaibia sometimes hakuna namna.. WANASTAHILIHabari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.
Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Kabisa, na ana dalili za kutumia kilevi japo amefanya hilo kosa akiwa anajitambua, jamaa ajiandae kutumikia kifungo cha maisha au adhabu ya kifo.Wabongo ni watu makatili sana
Mambo ya kisiwa cha amani ni maneno tu
Sana ,yeye si kajiona mafia
Shupavu,
Sema pale sifa kujionesha mwamba
Anauza sura kabisa
Ova
Mkuu mlozi, ndio wezi wana stahili hilo (baadhi) ila jamaa amekosea kufanya hivo kwenye mazingira hayo, hapo hiyo gari TRA wataifuatilia kodi, jamaa atafuatiliwa anafanya kazi gani nk.Ila seriously ukiwakuta hawa wezi wanavyowafanyia wanaowaibia sometimes hakuna namna.. WANASTAHILI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi hiyoooKabisa, na ana dalili za kutumia kilevi japo amefanya hilo kosa akiwa anajitambua, jamaa ajiandae kutumikia kifungo cha maisha au adhabu ya kifo.
Wezi ni wapuuzi sana ila sio vizuri kumuua mwizi ambaye hajaua
Dah! Sina la kusema. Dunia inaenda kwa kasi mno.Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.
Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Ndio maana nilisema sijataka kuongelea wananchi wenye hasira, Bali nimejikita zaidi katika kuudhalilisha huo Mwili wa binadamu.Wew mleta post acha umama kabisa unajua wezi wanayo yafanya majumbani wanalawiti nk kwan? Hao waliokuepo ni wajinga nawew tutakutafuta yamkin unashirikiana nao.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app