Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Bora hujaichek..nimeumia na kustaajabu..ofcourse wezi wanarudisha sana maisha ya watu...ila sio kwa level hiyo ya adhabu ..mkono umewekwa shavuni...madini kwa mbaliii[emoji6]
Asante, umenifungua macho... Imetulia.

Ndio binadamu tulivyo, tunatofautiana sana. Wakati mwingine kibaka na mtoa adhabu wote roho Yao moja.. Tofauti matendo tu.
 
yani jamaa amejionyesha sura,namba za gari na isitoshe mpaka anatoa comment ya kujisifu kwa alichokifanya upumbavu kama huu ulimfanya mjomba wangu mpaka sasa yuko dodoma kwa kesi ya mauaji kwa adhabu ya kifo aliyopewa.

kisa tu kumuua mwizi ambae hakumuibia hata cent kumi kamkuta anapigwa kaingia kamtia visu akamfia hapo hapo tamalaki polisi hao wakamdaka na ushahid wa kisu chake kesi haikukaa hata miezi 3 kala kifungo cha maisha maana ushahidi ote ulikuwepo,kumbe jamaa hakuwa mwizi bali wivu wa mapenzi akaitiwa mwizi
 
Alichokosea kujionyesha sura na gari ukidim light unaona number plate.

Lakini wote tunajua wezi wa pikipiki hua wanaua madereva, kijiweni kwetu tumepoteza watu wanne na mmoja ni kipofu alitobolewa macho na hawa watu.
 
IGP mwenyewe aliwaonya wezi mpaka wazazi wao
Katika hili nalitaka jeshi liendelee na shughuli zake za ulinzi wa raia wema na mali zao

Kifurukutu
 
Watu wanajifanya wanahuruma sana na mwizi...hao wezi wa pikipiki wako tayari kuua ili kuchukua pikipiki...mistake ni jamaa kuonyesha sura yake na plate no kama inaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…