Lambo jini
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 247
- 338
kama ishu ya bwana mdogo rapchaNdio maana nilisema sijataka kuongelea wananchi wenye hasira, Bali nimejikita zaidi katika kuudhalilisha huo Mwili wa binadamu.
Lakin pia upande wa sheria mkononi tuna rekodi ya watu wengi kuitiwa mwizi ilhali kuna ishu nyingine kabisa. Nimegusia tu
Nipo best yangu, za masikuJamani mrembo upo?
Njema sana, nafurahi kukuonaNipo best yangu, za masiku
Hujaibiwa ww ukaona inavoumaWabongo wana roho mbaya
Na makatili !
Hii kitendo alichofanya jamaa ni unyama
Ova
Mi pia mwayaNjema sana, nafurahi kukuona
Wanaotetea wako kwenye gate kali hawajui machungu ya kuibiwaKama ni mwizi, mwache apambane na hali yake.
Wao wakituvamia majumbani wataua hadi kuua, tena execution style.
Kuibiwa na uhai ni vitu viwili tofauti mkuuHujaibiwa ww ukaona inavouma
Mzee wa kubeba box umekuwa kimya muda mrefu
Kwa hiyo ni adhabu gani anastahili?Kuibiwa na uhai ni vitu viwili tofauti mkuu
Afungwe au ale viboko vyakutoshaKwa hiyo ni adhabu gani anastahili?
Viboko kwani yeye mtoto? Afungwe afu atoke kwa msamaha wa rais? Acha avunjwe miguu tu.Afungwe au ale viboko vyakutosha
amefanyaje,sijataka kuiangalia itaniharibia mood aiseeWabongo wana roho mbaya
Na makatili !
Hii kitendo alichofanya jamaa ni unyama
Ova
Kama hujawahi kuibiwa huwezi kuelewa, hawa jamaa wanarudisha sana maendeleo......mnaopigania haki za binadamu endeleeni tu ila siku ukiibiwa utaelewa kwanini watu wana hasira kiasi hicho.......binafsi siwezi kumuonea huruma mwiziHabari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.
Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Hata tukiwapeleka polisi,polisi hiweka sheria mfukoni kwa kukomba mlungula na kuwaachia huru mabazazi hao,kwa hiyo sisi tumeamua kubaki na sheria zetu mkononi nalaabuk!!Mbaya sana hii!!
Sheria mkononi haifai.
Huyu unaweza kuta kaenda Police hata mara kumi anarudi mtaaniDah! Sina la kusema. Dunia inaenda kwa kasi mno.
Lakini, matatizo kama haya hutokana na haki kutokupatikana. Maana yake ni kwamba, ukimkamata mwizi na ukampeleka polisi, kesho yake anaachiwa na anakuwa na bifu na wewe.
Lakini pia tufikirie, ni kweli huyu ni mwizi? Je! Inawezekana kuna mtu kamsakizia na sio mwizi?
Yes,Ni fundisho kwa vibaka wengineEti huyo chui chui hapo ni engo ipi? Nazungusha simu nyuzi 360° ila bado sielewi.
Hiyo video ni mbaya sana eh? Iki trend nchi nzima inaweza kuwatisha hao nyang'au waache kukwapua vitu vya watu kwa kuingiza baridi?
Noma sana kutolewa kibaka wa kwamfano..
Hebu itupie na media nyingine tuone,iliyonea kama YouTube hiviHabari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.
Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.
Naomba mnisamehe kwa hii Violent content, na Mods mnaweza kuiboresha zaidi.
Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Siku ukiibiwa utaelewa, kwasasa huwezi kuelewa.......juzi kuna dada jirani yetu kavamiwa kaibiwa na kubakwa na watu watatu halafu watu kama hao mkiwakuta muwachekee tu?Wabongo ni watu makatili sana
Mambo ya kisiwa cha amani ni maneno tu
Ova
Dah. Niko chaka. Umesemaje?The rule of Law is an essential part of Good Goverment in the societyof Human being.The rule of law is one of the things that differentiate a society of human being from animals societies.Where there is rule of law, relation between people and between goverment and people are governed and guided by law.
A Society tha reffuses to be guided by law is linked to a jungle kingdom, where only the strongest has right. He who commit crime breaks the law deserve purnishment.But not every citizen has the right to decide whether or not a suspect has committed an offence and not every citizen has the right to hand
down purnishment.
Under rule of Law every citizen has the right to arrest suspect and has the responsibility to handle that person /suspect to law enforcement organ(ie police)
From BENJAMIN WILIAM MKAPA Speach on mob-justice which he delivered on 27-04-2001 and reported on DAIL NEWS ON SATURDAY 28-04-2001