Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Sawa ila ni funzo kwa wengine wakiona clip hiyo
Sheria inasema usihukumu, huyo jamaa kama ana ndugu zake wakafatilia kesi hiyo

Ndomana kuna matukio mengine unasikia polisi wanasema aliuwawa na raia wenye hasira kali
Ina maana watu wamefanya yao wamekimbia

Ova
 
Wewe ndo unaeripoti halafu hauelezi nini kimefanyika,kulalamika tu. Yaani wewe ndo psychopath namba moja?
 
Hio video nimetumiwa whatsup nimeshindwa kuingalia mara mbili asee kama ni hukumu waliyompa sio mchezo.tukio hilo nasikia limetokea tabata mwizi alipora pikipiki ila aseee kweli wanaume wa dar mmepinda yaani jamaa anamkanyaga kichwani miguuni,tumboni sijui km alipona.
 
Kwel wezi Ni noma wanarudisha nyuma Sana nimeona video hyo nikashindwa kuitazama mpk mwisho ila ukweli Ni kwamba huyu anayemkajaga huyu jamaa amekozea sana snaauatashain kuwa yey hajawai kufanya makosa dah mungu amsamehe ameingilia Kaz yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…