Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Samia? 😂Tulia we Nyani ulitaka yule muhutu atawale hadi lini
Samia? 😂Tulia we Nyani ulitaka yule muhutu atawale hadi lini
Ilishatokea sana,vibaka wezi kuuliwa na raiaSio kweli,
Hakukua na matukio kama haya.
hatujaisahau tanzania ya mwendazake jiwe. ilikuwa na mambo ya kutekana na ushamba mwingi.Tanzania ya Samia hiyo [emoji6]
Kila zama na kitabu chake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wezi wakina Singh hawavamiwi kama hivyoKwel wezi Ni noma wanarudisha nyuma Sana nimeona video hyo nikashindwa kuitazama mpk mwisho ila ukweli Ni kwamba huyu anayemkajaga huyu jamaa amekozea sana snaauatashain kuwa yey hajawai kufanya makosa dah mungu amsamehe ameingilia Kaz yake
Jamaa mwingine akamtupia kwenye mfereji, huyo aliekuwa anamkanyaga na Gari kamalizia maneno yake kwa kusema walishawahi kumuibia simu.@Ukwaju unajua jukumu lako.
Amechukua sheria mikononi sijui huu usemi umetokana na nini kwamba alitakiwa achukue sheria wapiHio video nimetumiwa whatsup nimeshindwa kuingalia mara mbili asee kama ni hukumu waliyompa sio mchezo.tukio hilo nasikia limetokea tabata mwizi alipora pikipiki ila aseee kweli wanaume wa dar mmepinda yaani jamaa anamkanyaga kichwani miguuni,tumboni sijui km alipona.
Yule aliyehukumiwa pamoja na Bwana Yesu naye ni miongoni mwa hao ila sijui neno takatifu linasemaje juu ya wote wawili, aliyeiba na aliyekanyagaKama kweli huyo ni mwizi, wezi sio watu wazuri, na wezi sio watu wa kuwahurumia. Hiyo adhabu saizi yake.
Akikupa nitupie na mimi nimtupie jirani yangu amwonyeshe mwanaye maana kashindikana hapa mtaaniNaiomba Privately
Kwani enzi za hayati, wezi na majambazi walikuwa wanapewa adhabu ipi??Tanzania ya Samia hiyo 😉
Things are getting better? What kinda crack you been smoking?Kwani enzi za hayati, wezi na majambazi walikuwa wanapewa adhabu ipi??
Au ndio wale tulikuwa tukiona maiti zao kwenye viroba??
Mpe hongera zake Mama, things are getting better on her hands. Tumpe ushirikiano
Otherwise, sijapenda tabia hii sugu ya wananchi kuendelea kujichukulia sheria mkononi.
Samia ni darling wa CHADEMA mbona….
Zinatofauti gani na zile za kupigana risasi, kuuawa na kufungwa kwenye mifuko ya sandarusi!? Hivi kuna zama za kikatili na ovyo kama za mwendazake!? Tena aliua watu wasio na hatia yoyote ile!Naam!
Zama za Samia ni watu kuuliwa kwa kukanyagwa na magari!
Kwani matukio ya wezi kuuawa yameanza awamu hii ya 6??Things are getting better? What kinda crack you been smoking?
Hebu mwulize huyo jamaa aliyekanyagwa na gari kama things are getting better!
Tatizo la Nyani hataki kuamini kuwa mwanamke anaongoza Nchi na ndiye amiri jeshi mkuu.Zinatofauti gani na zile za kupigana risasi, kuuawa na kufungwa kwenye mifuko ya sandarusi!? Hivi kuna zama za kikatili na ovyo kama za mwendazake!? Tena aliua watu wasio na hatia yoyote ile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa yeye kuua uko wapi?Zinatofauti gani na zile za kupigana risasi, kuuawa na kufungwa kwenye mifuko ya sandarusi!? Hivi kuna zama za kikatili na ovyo kama za mwendazake!? Tena aliua watu wasio na hatia yoyote ile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubahili, tumia cha asubuhi but niliiona Twitter jamaa ana gari jeusi hiviIna matusi balaa alaf kipengele kingine ni MB Zaid ya 20 na bundle ni changamoto sio utani ndo maana na plan kuiuza kwa atakayenifanyia wepes halotel mega