Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

Tunaomba achukuliwe hatua huyo muuaji hatutaki nchi yetu ichukue mkondo wa kujichukulia sheria mkononi,serikali ushahidi huo hapo.
 
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.

Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Kuna watu wanaiba mamilioni ya pesa tena za uma, kodi zetu kabisa, sijawahi kusikia wananchi wamemuadhibu, Watanganyika hatujielewi, mm binafsi nimeibiwa sana lakini siwezi kuadhibu wakati wasimamiz wa sheria wapo
 
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.

Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Umeshasema alitishia silaha na kutaka kunganganya bodaboda sasa huyu wa nini TUMESHACHOKA NA UHALIFU AKWENDE ZAKE AFANANIE JINA LA MWISHO LA MTOA MADA.
 
Wengi tumeibiwa lakini siungi mkono ukatili. Najua nikimkamata mwizi ananiibia nitamdhibiti kwa nguvu ikiwemo kipigo. Akishakuwa chini ya ulinzi wangu nampeleka mahala husika.
Najiuliza tu ishawai kukutokea ndugu yako wa karibu akuwawa na hao wezi kisa pikipiki tu, Kama haijawai kukutokea bc Kaa kimya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni mwizi dawa ni hiyo tu. Hawa jamaa wanarudisha nyuma sana watu alafu mtu mmoja anakwambia stori za haki za binadamu.

Shenzi kabisa
Huyo ni mwehu, kuna dogo mtaani walimuua alafu wakamtupa maporini huko, kuja kuonekana Zaidi ya siku kumi, ameharibika tayari, dawa yao ni unyama tu..
 
Habari wanajamvi,
Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania.

Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni udhalilishaji mkubwa wa mwili wa mwanadamu na unapaswa kupigwa vita na kuchukuliwa hatua mara moja.

Huyu raia mwenye gari nyeusi ni "Psychopath" kabisa na anachokifanya ni zaidi ya mwananchi mwenye hasira kali.
Picha mkuu!
 
Najiuliza tu ishawai kukutokea ndugu yako wa karibu akuwawa na hao wezi kisa pikipiki tu, Kama haijawai kukutokea bc Kaa kimya.
Sasa nitamhukumuje ambaye siye?
Naweza kumpiga mwizi lakini ni katika kumdhibiti tu. Nikimdhibiti namkabizi mahala husika.
Kama ana silaha ni swala lingine.
 
Back
Top Bottom