Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

Tabia 10 mbaya ambazo haziendani na urembo na utanashati

Kupaka mafuta makalioni haijakaa vizuri.....yaani niyapake mafuta makalio yangu mpaka yawe yanawaka waka..!!!! Ili iweje
yawe malaini mkuu katako yakiwa yanateleza yanaleta burudani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
yaani ni hivi mwili wetu wote umetawaliwa na wadudu ndo maana ukifa huchukui sekunde unaanza kunuka so hizo zote ulizo andika ni utumwa wa akili naishi niwezavyo maana hizo haziniongezei miaka
Si kweli! Mwili wa binadamu unapokufa unaweza kukaa hadi masaa nane kabla ya kuanza kuharibika!
 
Umeandika vizuri sana ila hapo kwenye kupaka mafuta makalio hizo ni dalili za upunga
 
Namba 9 kwa mwanaume inachekesha kidogo! Likilainika likaanza kutingishika si ni hatari jamani!
 
Back
Top Bottom