Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

huyu ni mimi kabisa
 
uongo mtupu
 
introvert most of them
 
Wow jamani kumbe na mimi nina IQ kubwa, maana sifa zote hizo ninazo. Ila mbona darasani sina akili? I don't understand πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kujua tu kwamba wewe huna akili ni stage moja kubwa kimaisha, mwenzako Lucas hajui kama hana akili, combination ya kutakuwa na akili na uchawa ni combomination mbaya sana katika maisha ya binadamu
 
Kujua tu kwamba wewe huna akili ni stage moja kubwa kimaisha, mwenzako Lucas hajui kama hana akili, combination ya kutakuwa na akili na uchawa ni combomination mbaya sana katika maisha ya binadamu
Kabisa sometimes kujua una IQ ndogo inakusaidia kuwa na nidhamu kubwa sana
 
Lakn Cha kushangaza watu wenye IQ kubwa huwa wastaarabu na hawapendi show off
Si unaona kwa mifano, baba levo na mwinjaku wanakelele, sasa wachukue waambie njoon tuongelee "sustainable energy in Tanzania" hakuna hata mmoja atafungua mdomo ila ukiuliza leo zuchu kala nini utaona yatakavyokupigia kelele mpaka masikio yaume, ukiyarudisha tena kwenye digital currency na maendeleo yake Tanzania unayafunga mdomo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Juz kuna jamaa mtaani ananielekeza namna Hard Drive ya computer ilivyomuhimu Yan kwa confidence kabisa anasema ile ndio brain ya computer nikawa naitikia tu, asijue kwamba hiyo ni area yangu ya expertise. Uswahilini raha sana kama unajua kusikiliza..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aise hatari
 
Kwa sifa hizo je wewe una IQ kubwa au ndogo
 
Watu wenye IQ kubwa mara nyingi huonyesha tabia fulani zinazowatofautisha na wengine.πŸ’ͺ🏿
Na wengine mara nyingi huonyesha tabia fulani zinazowatofautisha na watu wenye IQ kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…