Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

12: Sikubaliani nayo - Wanapenda kuwa wasikilizaji zaidi na kujisocialize kidogo tu
18: Sikubaliani nayo - Hawavutiwi na sanaa ya muziki bali wanavutiwa na mambo yote ya kiubunifu - originality
Yeah for sure, na namba 8 je
 
Si unaona kwa mifano, baba levo na mwinjaku wanakelele, sasa wachukue waambie njoon tuongelee "sustainable energy in Tanzania" hakuna hata mmoja atafungua mdomo ila ukiuliza leo zuchu kala nini utaona yatakavyokupigia kelele mpaka masikio yaume, ukiyarudisha tena kwenye digital currency na maendeleo yake Tanzania unayafunga mdomo 😂😂😂. Juz kuna jamaa mtaani ananielekeza namna Hard Drive ya computer ilivyomuhimu Yan kwa confidence kabisa anasema ile ndio brain ya computer nikawa naitikia tu, asijue kwamba hiyo ni area yangu ya expertise. Uswahilini raha sana kama unajua kusikiliza..
Hehehe
 
ujinius sio kuwa vizuri darasani ,kumbuka majinias wengi hawakupata elimu kubwa ya darasani mfano,nikolai tesla,charles page ,james watt .nb ujinius sio kuwa na uwezo wa darasani ila unajumuisha vitu vyote
 
ujinius sio kuwa vizuri darasani ,kumbuka majinias wengi hawakupata elimu kubwa ya darasani mfano,nikolai tesla,charles page ,james watt .nb ujinius sio kuwa na uwezo wa darasani ila unajumuisha vitu vyote
IQ isn't about kufaulu class ni kweli mkuu
 
Wanaongoza kwa kuteswa na mapenzi, hawchelewi kujitoa mhanga
 
Back
Top Bottom