Adam Clark
Member
- Oct 7, 2023
- 31
- 80
Ongezea ukiwa unafanya tofauti na mazoea ya Watu wengine ni km umechizika Asubuhi watu wanakunywa Chai Wewe unakula Ugali dagaa, msibani Watu wanalia Wewe unachekaTabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.KUONGEA MWENYEWE
2.KUKESHA USIKU
3.KUOTA NDOTO ZA MCHANA.
4.KUULIZA MASWALI MENGI
5.KUFANYA FUJO NA UKAFANIKIWA.
6.KUWA MPWEKE.
7.KUSOMA VITABU.
NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
Kutokupata usingiziKuongea mwenyewe ndio mwanzo wa wehu huoππππ.
Dah nilijua sitakosa comment ya namna hii ππππ barikiwa sana mpwa.Kuongea mwenyewe ndio mwanzo wa wehu huoππππ.
Mzee una IQ ya juu sanaπ€£Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe
2.Kukesha usiku
3.Kuota ndoto za mchana.
4.Kuuliza maswali mengi
5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6.Kuwa mpweke.
7.Kusoma vitabu.
NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
8. Kutooa ama kuolewa mapema.Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe
2.Kukesha usiku
3.Kuota ndoto za mchana.
4.Kuuliza maswali mengi
5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6.Kuwa mpweke.
7.Kusoma vitabu.
NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
Hapo dishi litakuwa na msukosuko ndugu.Kumbe Mtu kuongea mwenyewe ni kuwa na akili kubwa π³ π³
Kubabake kuna mjeda mmoja hivi alikua anaongea nikashindwa mwelewa alafu maswala Yale ya vitani cjui mabom yalibomoa ubongo yuleππKuongea mwenyewe ndio mwanzo wa wehu huoππππ.
In general Ungeniambia ulevi wa kupindukia ungenifikilisha kidogo.Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe
2.Kukesha usiku
3.Kuota ndoto za mchana.
4.Kuuliza maswali mengi
5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6.Kuwa mpweke.
7.Kusoma vitabu.
NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
naba 7 tu ndo sina hiyo tabiamaana mara mwisho kufanya ugomvi sikumbuki na nadhan haijawahi tokea,kwa hizo 6 zilizobaki na itoshe kusema mm ni geniusTabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe
2.Kukesha usiku
3.Kuota ndoto za mchana.
4.Kuuliza maswali mengi
5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6.Kuwa mpweke.
7.Kusoma vitabu.
NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
Abraham Lincoln alikuwa mvivu sana ila alipenda sana kusoma vitabu kiasi alitembea km nyingi kufuwata kitabu library na ndie rais mwenye very high IQTabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe
2.Kukesha usiku
3.Kuota ndoto za mchana.
4.Kuuliza maswali mengi
5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6.Kuwa mpweke.
7.Kusoma vitabu.
NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin
ππMleta mada anasemaje juu ya hilo?Hapo dishi litakuwa na msukosuko ndugu.