Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Basi na tutambuane humu jukwaani.Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu.
1.Kuongea mwenyewe
2.Kukesha usiku
3.Kuota ndoto za mchana.
4.Kuuliza maswali mengi
5.Kufanya fujo na ukafanikiwa.
6.Kuwa mpweke.
7.Kusoma vitabu.
NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we umepagawa, ila hizo ni tabia za watu wenye IQ kubwa zaidi duniani ie:Robert Einstein, Charles Darwin