Tabia 7 zinaonesha kuwa wewe ni mtu mwe IQ ya juu

Basi na tutambuane humu jukwaani.
 
1. Kiukweli hii bado haijanikuta
2. Mwisho juzi nilikuwa sijalala siku mbili, lakini nahisi nina Insomnia
3. Mara moja moja inanikuta
4. Kawaida yangu, huwa sipendi kuwa na mashaka
5. Niliwahi kukoswa koswa chupa ya bia
6. Hii ndio kawaida yangu
7. Hapa sasa ndio huwa nipo.
Lakini bado kwa upande wangu sidhani kama nina kigezo cha kuwa na IQ kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…