Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Anne tununue hata ki IST ili ujitawale uweke humo na kigauni Cha yesu ni mwamba.
Kwakweli nitanunua hata passo chakavu nikiokota hela..nijitawale na gauni langu la Yesu ni mwamba.

Kwenye usafiri wa umma watu wanakera mno.
Halafu sijui huwa hawashtuki kama wanakera watu[emoji849]
 
Kwakweli nitanunua hata passo chakavu nikiokota hela..nijitawale na gauni langu la Yesu ni mwamba.

Kwenye usafiri wa umma watu wanakera mno.
Halafu sijui huwa hawashtuki kama wanakera watu[emoji849]
Hulka za watu sometimes huwa napenda nikae kwenye public na nisome hulka za watu but sometimes nakuwa niponipo tu..
Nunua hata ka jet uwe unapaa hewani tu..😜
 
Kwanza nikae kwa dirisha,halafu awepo slay Queen pembeni.Hapo hata awe matawi ya safu za milima Everest Nepal huko,atanikubali tu hizo swagg zangu.Picha linaanza kwanza namlia tinted hamna cha salam wala nini.Ni earpods tu zipo kwa sikio nakula ngoma,pipi classic mojamoja natumia na maji kwa mbaali.Mida ya chai nakunywa,narudi na apples matunda.
Nasema mpaka atanisemesha tu.
Huku nacheza video kwa simu huku nachat,lazima atashangaa tu.Mara niingie Google map nione nipo wapi na jinsi gari ina move.

Atanisemesha tu.
Muda wa lunch ni chips kuku,na Ceres tropical napanda nayo,na redbull na maji kubwa.Hivi navitumia kwa akili sn kidogo kidogo ili visifanye nikojoe kojoe.Atanisemesha tu.

Mara simu yake charg inaisha,anaazima USB achaji anakuta ni ya kitofautiiiii,atanielewa tu.

Saa moja usiku atakuwa hoii,ataanza kunilalia,uchovu hamu ya kiwa holded itamuingia.Hapo ndo namwambia tukifika nikutafutie maji ya moto uoge et ee? Upate na chai nzuri sawa? Hapo ni sawaaaa!

Itaendelea.....
 
Karibu iendelee hii ni movie tosha...
 
Hulka za watu sometimes huwa napenda nikae kwenye public na nisome hulka za watu but sometimes nakuwa niponipo tu..
Nunua hata ka jet uwe unapaa hewani tu..[emoji12]
Nichangie basi nikanunue.
 
Karibu iendelee hii ni movie tosha...
 
Kachangamshe mizimu utakaa nasi siku moja..😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…