Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Tabia nyingine ambayo sipendi ni kukaa na mtu aliyejitanua utadhani siti 2 zote zake.

Mtu amejitanua katikati ya siti 2,badala akalie Moja.
Mtu anaenda kukaa,badala asogee ,anabaki amejitanua hivyohivyo,, Kuna watu sijui hata huwa wanawaza kwa kutumia nini!
Mimi huyo napenda kujitanua kwenye seat na ndio maana sipendi seat ya Dirishani.
Napenda nikaa nijinafasi na kuweka nne ni lazima, mara naweka mguu kama nakuna nazi yaani tafrani.
Safari zangu za kila WeekEnd Dom-Dar makonda wa Bus wanajua kabisa kuwa sikai Dirishani.

Kingine napenda kulala safari nzima.
Nalala mara 3, mara kwanza naamka, nalala tena naamka, mara ya tatu nkiamka nakuwa nshafika.

Hapa enyewe nipo kwenye bus na nimeshtuka usingizini ndo nkaandika haya.

Kitu sipendi ni story zozote kwenye Bus
Nikishasalimiana na jirani yangu, then nafunga mkanda alafu nauchapa usingizi wa hela yote.
Kingine sipendi kukaa Dirishani.

Ebu ngoja nirudi kulala..!!
 
Redio tena mmmh nimekosea njia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninauhakika sio wewe mkaka mstaarabu maana angekuwa ni yeye basi hicho kiredio ninachokimaanisha hapo angevunjika mbavu kwa kicheko
 
Mimi huyo napenda kujitanua kwenye seat na ndio maana sipendi seat ya Dirishani.
Napenda nikaa nijinafasi na kuweka nne ni lazima, mara naweka mguu kama nakuna nazi yaani tafrani.
Safari zangu za kila WeekEnd Dom-Dar makonda wa Bus wanajua kabisa kuwa sikai Dirishani.

Kingine napenda kulala safari nzima.
Nalala mara 3, mara kwanza naamka, nalala tena naamka, mara ya tatu nkiamka nakuwa nshafika.

Hapa enyewe nipo kwenye bus na nimeshtuka usingizini ndo nkaandika haya.

Kitu sipendi ni story zozote kwenye Bus
Nikishasalimiana na jirani yangu, then nafunga mkanda alafu nauchapa usingizi wa hela yote.
Kingine sipendi kukaa Dirishani.

Ebu ngoja nirudi kulala..!!
[emoji38]bora ujitanue ukiwa umekaa siti isiyo ya dirishani..
Mtu yupo Dirishani na anajitanua siti zote 2,,sasa aliyekaa pembeni anataka adondoke???

Kwenye kulala naona upo kama Mimi.
Cha nyongeza kwangu ni kula,,basi Safari nzima huwa nakula na kulala.

Unaelekea Dom au Dar?
 
Kuna mdada nilikaa nae kwenye bus uwiii jamani msukuma yule alijua kunikera na ile miziki yake..nilitamani kushuka nitembee kwa miguu hapo ndo kwanza tulikuwa tunatoka maeneo ya ubungo..nusu nimzabue makonzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wenyewe huwa hawafikirii kama wanakera watu.
 
Mimi huyo na kama wataendelea basi nitawaambia wawe wastaarabu waache kuongea kwa sauti kubwa zinazosumbua wasafiri wengine.

Sipendi tabia ya baadhi ya watu kupayuka hovyo kwenye gari utadhani wapo wapi sijui.

Unakuta wamekaa siti tofauti ila wanapiga kelele yaani ni kero mno.
Wewe ni Mimi..
Au mtu anaongea na simu anapayuka gari zima.. Sipendi jamani..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wenyewe huwa hawafikirii kama wanakera watu.
Imagine mtakatifu nilikuwa naenda mwanza siku hiyo na hapo kero zilianzia shekilango kufika ubungo zikachachamaa..piga picha hiyo safari ya Mwanza ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธJamani
 
[emoji38]bora ujitanue ukiwa umekaa siti isiyo ya dirishani..
Mtu yupo Dirishani na anajitanua siti zote 2,,sasa aliyekaa pembeni anataka adondoke???

Kwenye kulala naona upo kama Mimi.
Cha nyongeza kwangu ni kula,,basi Safari nzima huwa nakula na kulala.

Unaelekea Dom au Dar?
Narudi Dodoma

Mimi huwa nawaambiaga rafiki zangu kuwa nafanya kazi Dodoma naishi Dar.
Manake panda shuka kila WeekEnd sio mchezo.
 
Imagine mtakatifu nilikuwa naenda mwanza siku hiyo na hapo kero zilianzia shekilango kufika ubungo zikachachamaa..piga picha hiyo safari ya Mwanza [emoji2296][emoji2296][emoji2296]Jamani
Mwee[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Safari ilikuwa ndefu Sana.
 
Back
Top Bottom