Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

🀣🀣🀣Ipo siku utamubahatisha tu.
 
Unanikumbusha siku naenda zangu Iringa nikapanda basi fulani hivi ile kuingia kwa seat yangu tu nikakutana na mdada amejazia kalio la uhakika ila sura ya kawaida
Nikamsalimia then nikalopoka "aise afadhari hata nimekukuta wewe walau safari yangu itakuwa nzuri"
Akatabasamu na kuniuliza kama vile hajanisikia eti umesema..!??
Nikarudia maneno yale yale
Akacheka na kuniuliza kwanini unadhani safari yako itakuwa nzuri?
Nikamjibu nimekaa karibu na dada mzuri [emoji3]
Unajua kiliendelea nini?
Nilijilia vyangu mpaka kesho yake ndo tukaachana
 
Dah pele lilipata mkunaji.
 
Sipendi kukaa seat ya Karibu na wasukuma wa kijijini au wamasai...ni wasumbufu sana kwenye kuongea ongea hovyo na kupiga mziki bila sababu ya msingi.wasukuma na wamasai mnisamehe tu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sipendi kukaa seat ya Karibu na wasukuma wa kijijini au wamasai...ni wasumbufu sana kwenye kuongea ongea hovyo na kupiga mziki bila sababu ya msingi.wasukuma na wamasai mnisamehe tu
Hii ya mziki nayo inakera sana.

Mwingine sijui ndio ushamba wa kumiliki smartphone [emoji849],niliwahi panda na dada Yaani ameweka mziki kwenye simu unapiga kelele daladala nzima,,na yupo busy anachezesha na kichwa.
 
Kuna siku nilipanda bus na mkaka mzuri jamani..halafu haongei sana mbona Safari ilikuwa fupi
 
Hii ya mziki nayo inakera sana.

Mwingine sijui ndio ushamba wa kumiliki smartphone [emoji849],niliwahi panda na dada Yaani ameweka mziki kwenye simu unapiga kelele daladala nzima,,na yupo busy anachezesha na kichwa.
Kuna mdada nilikaa nae kwenye bus uwiii jamani msukuma yule alijua kunikera na ile miziki yake..nilitamani kushuka nitembee kwa miguu hapo ndo kwanza tulikuwa tunatoka maeneo ya ubungo..nusu nimzabue makonzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…