Sasa huu uchakaramu umeuanza lini??Upole
UPI Huo babu asprinSasa huu uchakaramu umeuanza lini??
Kama huu unaongea na babu kabla hujamwamkia...UPI Huo babu asprin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama huu unaongea na babu kabla hujamwamkia...
Hivi nikikutongoza utanilaumu??
Kwahiyo kwa kifupi kabisa unataka kunambia ndo ushanipiga chini hata kabla sijaanza???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aaaah babu untaka niwe kipofu were wewe
Nikikukubali hiyo bustan ya eden siitakuwa imebadilika rangi teh teh maua ya pink yatakuwa yakijani[emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naogopa kuwa kipofu .....pili nguvu huna wewe tenaKwahiyo kwa kifupi kabisa unataka kunambia ndo ushanipiga chini hata kabla sijaanza???
primary or secondary
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] hiyo si laana kbsaa
A see hiyo ya katikati watoto wako vizurii duuu I wish ningekuwa me[emoji39] [emoji39] [emoji8]
Unatamani wanawake wenzio??? Mamaaaaa....!!A see hiyo ya katikati watoto wako vizurii duuu I wish ningekuwa me[emoji39] [emoji39] [emoji8]
Wewe huwoni wanavyooteleza km bamia mchuziUnatamani wanawake wenzio??? Mamaaaaa....!!