Naona kama twafananaMimi kunywa ulanzi
Hivi upupu unawasha hata kama mtu amevaa nguo?Kumwekea mwalimu upupu kwenye kiti chake...
Naona kama twafanana
Ahaa niko std 5 nikaweka kioo chini kuchungulia dada wa std 6 alininasa kibao yule mhmm asee,hii aikua tabia yangu sema nilifata mkumbo siku hiyo ndo ukawa mwisho.Kutupia ka kioo chini ya sketi za wadada