Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

Hivi bado unapenda kulala, ndo swali nauliza kila nikikutana na mate wangu tuliepotezana mda mrefu.
Kitu cha pili kutoroka,Asee hakuna mtihani kwangu kukaa yale yote shule O-level mpaka Chuo lakin hii tabia toka primary saa saba home sweet home Tanessa.
 
Back
Top Bottom