Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati...
Nini hutokea?
Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma?
Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
Nini hutokea?
Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma?
Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.