Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Kuna huyo mmoja akilewa anaanza kulia tena kwa nguvu...
Akidai amewakumbuka ndugu zake waliofariki...
Huyo anakunywa hii , ndio maana analia kukumbuka wahenga
1734017677420.jpg
 
Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati...

Nini hutokea?

Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma?

Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
Kutusema sie tusikunywa kuwa tunapenda mbususu lakini wao wakimaliza kulewa wanataka mbususu🤣🤣🤣🤣
 
Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati...

Nini hutokea?

Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma?

Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
Walevi wana ubinadamu na utu kuliko walokole na wachamungu
 
Back
Top Bottom