Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Kama ni mumeo anatabia hii kazi unayoKujinyea na kujikojolea nguoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mumeo anatabia hii kazi unayoKujinyea na kujikojolea nguoni
Basi komaeni na wanaume wanywa soda muwaache wanywaji pombe.Kitu kizuri wanakubali kuwa zinakimbilia chini Yani mtu kunambia mwanaume au mwanaume mlevi sio mzinz Huwa nakataa kabisa labda anakunywa nyumbani
Suruali za vitambaa😂😄😄😃Wanywa soda wengi hawana hata mipango na suruali zao za vitambaa
😂😂😂😂Mbna hasiraBasi komaeni na wanaume wanywa soda muwaache wanywaji pombe.
Wanywa soda wengi hawana hata mipango na suruali zao za vitambaa
Wanywa soda wengi mipango hawana...kila saa mke wangu mke wanguSuruali za vitambaa😂😄😄😃
Poor BrainWanywa soda wengi mipango hawana...kila saa mke wangu mke wangu
Kwanza ujue kuna antiel hapa kanipikia wali marage ila kaboronga mambo..
Na ni wazinzi na wanafki hatari 😁😁😁😁
😂😂😂😂Mnawasingizia bhanaNa ni wazinzi na wanafki hatari 😁😁😁😁
Kuliko watu wa Gambe? 😀😃😄Na ni wazinzi na wanafki hatari 😁😁😁😁
Wengine ndio muda wao kuongea kiingereza.....Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati...
Nini hutokea?
Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma?
Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
Sio lazima uwe na pesa Ili ulewe.....zile kampani zao wana umoja sana.Bila pesa utakunywaje pombe?😀😄😃
Tabia Yao nyingine inayonishangaza kufanya vijiwe vyao vya kunywea pope kama Never Miss.
Mwenzao asipotokea ni lazima wamtafute.
Ha ha ha ha ha ha ha walevi ndo tulivyo.na akikwambia sikiliza nikwambie anataka kile atakachosema usapoti hata kama cha uongo.kuna rafiki yangu ni mjeda akilewa naanza kumpa sifa tena kwa sauti wahudumu wasikie.namwambia wee ni kamanda na kongo uliamsha enzi za jk mpaka m23 wakakimbia utasikia weita mpe safari nne kijana.na kongo hajawahi fika
Hahaha wewe unatuchanganya tu, Alcohol Persistance leve iko wapi, kichwani, Tumboni, mdomoni au kwenye damu, mimi mlevi/sijui mnywaji naitambuaje hiyo persistance level yangu?Kuna kitu kinaitwa alcohol persistence level 🎚️ hautakiwi Kuzid level yako maana utakua una MIS USE ALCOHOL LAZIMA IKUZINGUE.
Naona unapiga MAKELELE Kama msabato.Hahaha wewe unatuchanganya tu, Alcohol Persistance leve iko wapi, kichwani, Tumboni, mdomoni au kwenye damu, mimi mlevi/sijui mnywaji naitambuaje hiyo persistance level yangu?
Na inapimwaje kwa idadi ya chupa, aina ya kilevi au alcohol content ya kinywaji husika?
Hivi ni vitu Mungu alipaswa asivifiche, yani kila mtu awe na hiyo Alcohol Persistance level kwenye PAJI la uso au mkononi kama Saa, watu wanakufa wengine wanapata urahibu kwasababu hawajui alcohol persistance level zao.
Any way nilichotaka kusema, ni ujinga kunywa Pombe ikiwa HUTAKI kulewa. Hakuna ustarabu, mywaji ni mnywaji tu, atakavyo behave baada ya kunywa hayo ni maamuzi yake siyo ya pombe. Kama hataki kulewa ASINYWE pombe.
Lakini tusitafute uhalali wa kulewa, eti mwingine aitwe mnywaji na mwingine aitwe mlevi.