Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeMke wangu akilewa anaanza kufukua makaburi ntatukanwa hata majanga ya mwaka juzi yatafufuliwa siku hiyo na hapiki nguvu anakua hana nishazoea
Balaaa zaidi kukojolea godolo aisee mtu ana mtoto mchanga kalewa na pempasi hajamvesha katoto kakojoe na yeye aisee godoro langu lina ramani ya dunia mpaka sayari zingine zote.
Siku izi akilewa namvesha mwanangu pempasi yeye analala sakafuni mpaka pombe zimuishe na akakojoe toi ndo apande kwa bed.sitaki maujinga ujinga hayo mimi