Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Pombe ni shidaa nililewa akawa amekuja dada yake na wife tena ni mtu mzima wa kunizaa kabisa wacha nimpalamie nianze kumpeti peti aisee wife alinipiga makofi siku hiyo.me hata sijui lolote kesho yake ndo akaniambia na asingesema nisingejua lolote.pombe konyo sana
 
Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati...

Nini hutokea?

Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma?

Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
Mwingine anawakumbuka marehemu,anaanza kulia!
 
H
Sawa lakini wakilewa kinatoka kile proper kabisa lakini wakiwa timamu wanakosea tenses na husikii vocabulary Kubwa
POmbe hufanya mzunguko wa damu uende poa.so ubongo unapata lishe yake kwa usahihi na perfomance yake huongezeka.ndo maana ukimfuata malaya umelewa anajua kabisa kazi ipo bao dk 50 badala ya 15 sababu ya pombe
 
Ila mzabzab😀😀😀😀
Kweli nakwambia ogopa sana hawa wanywa pombe bora sie wazee wakugegeda tena sie hatuwezi telekeza familia. Hawa wa pombe wanalala bar...na wakiridi home wanakojolea kwenye fridge...utasikia mama sabrina hii taa uliyoweka chooni yakisasa kweli ukifungua mlanga inajiwasha yenyewe🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom