Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Mi nikilewa napendaga Sana Kupigana.sio najisifu.ila najitahidi niache hii tabia coz pombe ni starehe
Me niko kama wewe ila siku hiyo niliyatimba nikakutana na mkurya mwili nyumba tena meneja wa bar aisee kila nikitupa ngumi nalamba sakafu nikinyanyuka napingwa ndoige nilichezea vitasa.na jamaa alikua hajalewa akawa anajipigia tu.niliugiza majeraha mwezi mzima sina hamu tena na ugomnvi
 
Mimi kuna jamaangu akianza kuniambia sikiliza nikwambie ......Namwambie twende nyumbani asee hapa tyr hamna akili tena. halafu muda huo anakuhakikishia haja lewa na anakuuliza wee unaona nimelewa?
Ha ha ha ha ha ha ha walevi ndo tulivyo.na akikwambia sikiliza nikwambie anataka kile atakachosema usapoti hata kama cha uongo.kuna rafiki yangu ni mjeda akilewa naanza kumpa sifa tena kwa sauti wahudumu wasikie.namwambia wee ni kamanda na kongo uliamsha enzi za jk mpaka m23 wakakimbia utasikia weita mpe safari nne kijana.na kongo hajawahi fika
 
Maisha ni mafupi sana mkuu huwa nafurahi sana kuwa nae uzuri wa walevi ni kampani asee tuliwahi kutafuta kitimoto mwendo kama wa km7 asee daahh hapo tupo wa4 kwenye gari na akati tunarudi kila mtu alipelekwa kwake akisindikizwa na tusi takatifu la Qumamake
 
Mlevi ni mtu mjinga sana japo namimi ni mlevi ila naongea ukweli sisi ni wajinga najuta sana nilitumia 2m siku Moja ndio nikasema huu ni ujinga aisee unanunulia wajinga wenzio pombe kama una akili timamu unastuka asubuhi unachenchichi za buku buku
 
Maisha ni mafupi sana mkuu huwa nafurahi sana kuwa nae uzuri wa walevi ni kampani asee tuliwahi kutafuta kitimoto mwendo kama wa km7 asee daahh hapo tupo wa4 kwenye gari na akati tunarudi kila mtu alipelekwa kwake akisindikizwa na tusi takatifu la Qumamake
Hakuna watu wanapendana kama walevi.kuna mtu tulionana tu day one akiwa kalewa hata sijuo anakaa wapi kujua na mimi natumia akanambia twenzetu.kama masihara nafika kaagoza msosi nae kaagiza tukala.kilichofata mafantomu makubwa ya kvant 4 yakawekwa kwa meza tulikunywa wee baadae kanionyesha kwake kumne ni karibu na pale tulienda kunywa mpaka leo jamaa kawa mshikaji na kwangi huja.walevi ni watu nina zaidi ya miaka kuni na nane nalewa nikiona mlevi namheshimu ni watu na hawana choyo.
 
Niliamka na chenchichenchi za bukubuku na jero jero kibao 2m yote imeishia bar kuwanunulia pombe wajinga wenzangu
Bora wewe umenunulia wana.mm nimeingia bar na laki na hamsini.nikaagoza bia mhududumu nae akaganda kwa meza yangu nikasema isiwe kesi nawe chukua bia mbili mikausho mikali ikaendelea tukawa tunalamba ugimbi nikimaliza nae namwagizia.mwisho wa siku yule kaunta baby nae kajongea kuona mwenzie anapata malisho nae nokamnunulia.shida nikilewa zinashuka chini.lile shangazi la kaunta ni chupi saizi 42 zigo la kwenda so kuna kamziki kakawa kanapiga likawa linacheza nami nimelewa nimesimama nilipe colabo kama mondi na yope wacha lifokoe laki.mpaka naondoka sijui kitu matokeo asbh nliyapata nlipoamka sina ata mia ya mguu wa kuku
 
Back
Top Bottom