Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Kuna wanywaji na walevi ukiona mtu kanywa na kuanza kufanya hayo unayo yaeleza Basi jua haji heshimu na haeshimu izo pombe za kijingaaa
 
Mimi nikilewa nachapa maombi mazito na kushusha injili Kali bar 🍺 🍻 hadi watu wanaanguka mapepo na wengine wanaokoka kabisa.
 
huwa ni wakarimu mno, hasa kwa watoto katika kujitolea kwa kuwazawadia watoto na lakini pia kwenye kuzungusha round mbili tatu kama tulivyo, ni jambo jepesi mno aise ..

Inashangaza sana kwakweli πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…