Tabia gani za walevi huwa zinakushangaza?

Tabia ya kukojoa mara kwa mara usiombe mkachangia choo na mlevi...kuongeaongea ukiwa karibu yake unalowa uso mzima..nyege za karibu..hzi tabia zinakera
 
Wengine ndio muda wao kuongea kiingereza.....
 
Bila pesa utakunywaje pombe?πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒ

Tabia Yao nyingine inayonishangaza kufanya vijiwe vyao vya kunywea pope kama Never Miss.

Mwenzao asipotokea ni lazima wamtafute.
Sio lazima uwe na pesa Ili ulewe.....zile kampani zao wana umoja sana.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kitu kinaitwa alcohol persistence level 🎚️ hautakiwi Kuzid level yako maana utakua una MIS USE ALCOHOL LAZIMA IKUZINGUE.
Hahaha wewe unatuchanganya tu, Alcohol Persistance leve iko wapi, kichwani, Tumboni, mdomoni au kwenye damu, mimi mlevi/sijui mnywaji naitambuaje hiyo persistance level yangu?

Na inapimwaje kwa idadi ya chupa, aina ya kilevi au alcohol content ya kinywaji husika?

Hivi ni vitu Mungu alipaswa asivifiche, yani kila mtu awe na hiyo Alcohol Persistance level kwenye PAJI la uso au mkononi kama Saa, watu wanakufa wengine wanapata urahibu kwasababu hawajui alcohol persistance level zao.

Any way nilichotaka kusema, ni ujinga kunywa Pombe ikiwa HUTAKI kulewa. Hakuna ustarabu, mywaji ni mnywaji tu, atakavyo behave baada ya kunywa hayo ni maamuzi yake siyo ya pombe. Kama hataki kulewa ASINYWE pombe.

Lakini tusitafute uhalali wa kulewa, eti mwingine aitwe mnywaji na mwingine aitwe mlevi.
 
Naona unapiga MAKELELE Kama msabato.

Pombe ni kwa ajir ya machampion washindi na watu werevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…