Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri alimtumbukiza kijana chupa ya Coca makalioni na DPP akaingilia kwa juhudi kubwa kufuta kesi.
Huko Mafia nako DED katumia umwamba kwa binti wa kazi kaishia kupoteza kazi lakini hakuna kesi na kesho mkisahau anarudi kazini.
Sasa mpya ni hii ya RC Simiyu kumlawiti mwanafunzi kwenye gari. Taarifa za uchunguzi tayari na zinaonyesha kuwa kila kitu tayari lakini hakuna kesi yeyote hadi sasa na binti eti kaandika barua kuwa hataki kesi tena.
Hii sasa imeanza kuwa tabia na hawa viongozi watawadhalilisha sana wananchi kijinsia maana serikali ya chama cha mapinduzi na polisi wamegundua kuwa Watanzania kwenye hilo maadamu hakulawitiwa mwanafamilia wata kuwa kimya tuu.