Tabia Hii Ilianza Kama Utani. Manyara Wakapotezea, Mafia Wakapotezea, Sasa Simiyu Nayo Wanataka Kupotezea

Tabia Hii Ilianza Kama Utani. Manyara Wakapotezea, Mafia Wakapotezea, Sasa Simiyu Nayo Wanataka Kupotezea

Inabidi tujitafakari sana hii kasi ya kulawiti, mambo ya upinde haya mbona inakuwa kubwa sana.?

Kama hadi viongozi wamo, tatizo laweza kuwa ni kubwa sana. Unaanzaje kutaman kinyeo cha mtu. Ili upate nini?
 
Katika ukurasa wake wa X(Tweeter zamani) Martin Maranja kaweka copy ya barua ya siri ya Polisi Mwanza kuhusu uchunguzi wa hiyo kesi.
Hata kama wewe ni mbumbumbu utaona kuna ushahidi mzito na niaibu kwa mtuhumiwa kuendelea kuwepo ofisini eti ni mwakilishi wa Rais.
Mwakilishi wa Rais mlawiti? Aibu sana.

Mashaka ni mengi sana hapa.

Alishindwa kulawitiwa wakiwa wawili chumbani Ryans bay, lakini alifanikiwa kumlawiti kwenye Parking Cask ndani ya Toyota crown.

Maelezo mengine yote yamewekwa kuanzia CCTV footage, upekuzi kwa Binti, Dawati la jinsia na kutuma ushahidi kwa mkemia ila kujua umiliki wa toyata Crown wanasubiliwa TRA wakati kwa Polisi hili ni kazi ya masaa mawili tu TRA.
Hapo kwenye umiliki wa Toyota crown ndio patawastua wahusika Polisi, TOYOTA CROWN yenye no " B". hahahaaha
 
Back
Top Bottom