Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

Hiyo ya pili nadhani ungesema tu kuwa alikuwa muongo. Maana ukisema hakuwa muwazi maana yake alikuwa anafanya bila kutushirikisha ila yeye alikuwa anafanya hivi sisi anakuja kutuambia kinyume chake
Hahahaha ikae hivyo hivyo
 
Akiwa anatembea na kikaratasi cha watumishi hewa. Unaondoa watumishi hewa na kuongeza wage Bill's kwa kutumbua watu kishamba majukwaani huku wakiendelea kula mishahara ileile.
Punguani yule
 
Siasa bwana na waliongia wanadai hakuacha kitu
 
Wewe ni mjinga mwandamizi.mtwara,Lindi,sumbawanga,songea Mbeya,tabora,katavi etc et.magufuli alifanya nini cha kumsifia???
 
Wewe ni mjinga mwandamizi.mtwara,Lindi,sumbawanga,songea Mbeya,tabora,katavi etc et.magufuli alifanya nini cha kumsifia???
Mzee kwani nchi ni mbeya, songea,Mtwara,lindi,sumbawanga,Tabora, katavi pekee?
 
Huwezi kusema kiongozi mbaguzi kama JPM aliipenda sana Tanzania!
 
We jamaa ni muongo wa karne yaani wewe na mchepuko wako mlivyokuwa mkimkubali mkadhani watz wote tunampenda? Kama vp jinyonge na ukazikwe karibu na kaburi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…