Ndio Jf yetu ilivyofikia imeingiliwa na watu wa ajabu mtu kama huyu unamuweka kwenye kundi lipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyanani jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Jf yetu ilivyofikia imeingiliwa na watu wa ajabu mtu kama huyu unamuweka kwenye kundi lipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyanani jf
Mkuu, honest haina Mana hiyo labda mi Niko shallowUko sahihi, tabia yake ya kutokuwa honest (mkweli) ilimfanya pia kufanya udanganyifu na kuharibu chaguzi
Hahahaha ikae hivyo hivyoHiyo ya pili nadhani ungesema tu kuwa alikuwa muongo. Maana ukisema hakuwa muwazi maana yake alikuwa anafanya bila kutushirikisha ila yeye alikuwa anafanya hivi sisi anakuja kutuambia kinyume chake
Muelewe tu hivyo hivyoMkuu, honest haina Mana hiyo labda mi Niko shallow
Akiwa anatembea na kikaratasi cha watumishi hewa. Unaondoa watumishi hewa na kuongeza wage Bill's kwa kutumbua watu kishamba majukwaani huku wakiendelea kula mishahara ileile.Mimi nilimshusha tu alipoacha kutupandisha madaraja na kutuongezea mishahara! kwa sababu ya kununua ndege, kujenga flyovers, nk.
Halafu wakati huo huo akapandisha makato ya bodi ya mikopo kutoka 8% mpaka 15%!! Hakika maisha ya watumishi wengi wa umma yalikuwa ni magumu sana wakati wa utawala wake.
Siasa bwana na waliongia wanadai hakuacha kituNchi ilijawa na manyang'au, JPM anaingia ikulu nchi haina pesa hata ya kuongozwa kwa zaidi ya siku 9, yalitegemea angejificha kwenye upumbavu wa democracy uliotusababishia tuendelee kuwa maskini tegemezi kwa mabeberu hadi leo hii ilihali tuna kila aina ya utajiri wa rasilimali?
Wewe ni mjinga mwandamizi.mtwara,Lindi,sumbawanga,songea Mbeya,tabora,katavi etc et.magufuli alifanya nini cha kumsifia???Mama Samia hana hizo tabia je Tanzania ipoje sasa? Jk pia hakuwa na hizo tabia nchi alifikishaje? Unajaili vitu vya ovyo ovyo Watanzania wengi wanataka maendeleo bila kujali wana raisi wa aina gani na ndio maana ukimuondoa Mwalimu Nyerere anayefuata kwa kukubalika ni Magufuli hivo vitu ulivyoandika wewe ndio vinaangaliwa na wenye itikadi ya vyama na wanasiasa wenzake ila kwa sisi ambao hatuna itikadi ya vyama tunaangalia utendaji wa mtu na namna anavyofanya maendeleo.
Mzee kwani nchi ni mbeya, songea,Mtwara,lindi,sumbawanga,Tabora, katavi pekee?Wewe ni mjinga mwandamizi.mtwara,Lindi,sumbawanga,songea Mbeya,tabora,katavi etc et.magufuli alifanya nini cha kumsifia???
Mtwara amejenga hospitali kubwa ya kanda.Wewe ni mjinga mwandamizi.mtwara,Lindi,sumbawanga,songea Mbeya,tabora,katavi etc et.magufuli alifanya nini cha kumsifia???
Huwezi kusema kiongozi mbaguzi kama JPM aliipenda sana Tanzania!Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo.
Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa ambao kwa namna moja au nyingine zilimpotezea ubora wake :-
1.Mtu wa Visasi ,kwenye hii Dunia kila siku tunakosana na kutofautiana na watu wengi sana katika Haya wengi husamehe wengine hawawezi hivyo hutulia na kusubiri muda muafaka wa kulipa visasi.
Kiongozi watu aliweza kulipa visasi kwa vikundi mpaka kwa ngazi ya mtu mmoja mmoja ,kuna watu walikuwa maskini ,Nchi waliiona Chungu kwa sababu za visasi tu ,kwamba nlikuwa sina mamlaka sasa ninao mtakoma ,hii tabia iliharibu sana Nchi na ndio watu walisema ukatili.
2.Hakuwa Muwazi ,Katika Uongozi kuna mambo unaweza waficha wananchi wako lakini Mambo yanayo husu Maendeleo yao ni bora tukajua ,Tulikopa sana ,Tulipewa misaada Mingi ,tulipewa Pesa za COVID-19 ,kuna hela zilikusanya kwa Nguvu zikiwemo za madeni ya Nyuma kutoka kwa Matajiri na watu kama kina Sabaya na kwenda kufanya maendeleo bila watanzania kujua .
Mambo haya yote watanzania ilibidi wajue ,ili hata tunavyo ambiwa Deni la Taifa ni Trilioni 70 tunaelewa sio kuficha Taarifa .
Hivyo watanzania visasi havifai mtu ulikosana nae Darasani ,ukiwa Waziri ,JF ukipata Cheo kikubwa zaidi Tusahau na kusonga mbele .
Lakini mbali na mapungufu hayo makibwa mawili bado JPM ni mfano wa kuigwa kwa wazalendo wote aliipenda sana Tanzania .
Visasi na Kutokuwa Muwazi sio sifa nzuri kwa kiongozi .
Hilo haliwezi futa ukweli huoHuwezi kusema kiongozi mbaguzi kama JPM aliipenda sana Tanzania!
We jamaa ni muongo wa karne yaani wewe na mchepuko wako mlivyokuwa mkimkubali mkadhani watz wote tunampenda? Kama vp jinyonge na ukazikwe karibu na kaburi lakeMama Samia hana hizo tabia je Tanzania ipoje sasa? Jk pia hakuwa na hizo tabia nchi alifikishaje? Unajaili vitu vya ovyo ovyo Watanzania wengi wanataka maendeleo bila kujali wana raisi wa aina gani na ndio maana ukimuondoa Mwalimu Nyerere anayefuata kwa kukubalika ni Magufuli hivo vitu ulivyoandika wewe ndio vinaangaliwa na wenye itikadi ya vyama na wanasiasa wenzake ila kwa sisi ambao hatuna itikadi ya vyama tunaangalia utendaji wa mtu na namna anavyofanya maendeleo.