Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

Ninavyofahamu haiwezekani kila kiongozi ajaye akamridhisha kila mtu hilo alipo labda kama kuna dunia nyingine.
Ila Magufuli hakuwa na uzuri wowote ule , alijaa ubaya na ukatili kuanzia juu hadi chini
 
tabia mbaya kuliko zote ilikua ya ukabila na udini

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Tabia za uhutuni huko!
 
Nasikia wiki chache kabla ya kifo chake,alikuwa ametuma mahitman wakamalizane na Lissu huko ubeberuni
 

Kama watu wanataka maendeleo, ni kipi kilimfanya Nyerere kutumia raslimali za nchi yetu kwenda kuwakomboa weusi wa Afrika kusini, wakati makaburu waliijenga sana Afrika kusini? Kiongozi anayekubalika sana kipimo ni kuheshimu uchaguzi. Magufuli hakuwahi kuheshimu uchaguzi na alipika idadi ya wapiga kura na kura, ili kulazimisha kuonekana anakubalika sana.
 
Muacheni marehemu apumzike kwa amani. Marehemu husemwa Kwa mazuri tu. Mabaya ya marehemu yanahitaji huruma ya Mungu kwa kadiri ya mema aliyotenda. RIP JPM

Shetani anasemwa muda wowote.
 

Kama alifanya walichokuwa wanataka wananchi, mbona pia walitaka katiba mpya na akagoma?
 
sawa kabisa
 
Kila kiongozi huwa ana mazuri na mabaya yake jamaniii!!!

Lakini pia watanzania tuna ugonjwa mmoja mbaya saana,

Yaani hatujui kutofautisha kati ya baya na zuri.

Lakini pia Kila uongozi huaga unakuwa namachawa wake ambao hutumika kutuaminisha sisi mazuri tu yanayofanywa na uongozi uliopo madarakani na kuficha maovu yao.

Lakin kwa akili yetu yakupima sisi wananchi ndo tunaweza kuona upi uongoz ulikuwa na afadhali kuliko mwingine kwa kupima na kulinganisha baadhi yavitu.

binafsi naona JPM alikuwa na mazuri mengi ukilinganisha na mabaya yake.
 
Uko sahihi
 
Kwa hiyo sisi watanzania tusio na vyama ndo tulichagua mbunge mmoja tu wa upinzani( yule dada wa Nkasi)? Na Kama hi Hali ikiendelea tutaendelea bado kuwa kisiwa cha amani?
 
Leo ID yako naona imeobiwa na walamva asali.

Wewe mpaka juzi tu ulikuwa unapinga haya

Jpm alikuwa Rais na angekuwa Rais bora kabisa. Ila mambo yale ya wasiojulikana kwa Tanzania ya watanzanua wanaomwamini Mungu wasingeyavumilia. Yalifaa yafanyika Rwanda huko na Uganda na DRC walikozoea kuchinjana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…