Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

Uko sahihi
Tuliyasema yote haya tukimtaka na kuwataka wafuasi wake wasishabikie mambo mabaya. Hata hivyo mlishika vibendela na kuyafurahia.

R.I.P Rais JPM mazuri yako yatadumu milele na ya pale ulipojikwa libaki kuwa funzo kwa sisi tuliohai.

Thank you
 
Nyie mnachanganya Mambo..watu wakiwa wananyooshwa warudi kwenye mstari nyie mnaita eti visasi..binadamu mna shida sana...waswahili wanasema samaki mkunje bado mbichi..Sasa masamaki mengine yalishaachwa yakakomaa, unadhani utayakunjaje....lazima utumie nguvu ya wastani lasivyo hutayaweza..acheni kulalama..wananchi walitaka Rais wa namna hiyo kipindi hicho
Sisi hatukutaka rais mwizi wa kura, refer uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020,maana ni hatari kwa amani ya nchi. I may be a little clazy but I'm not stupid,wabunge wote waliounga juhudi( kuhama vyama) walirudishwa kugombea na kupewa vyeo na Magufuli. Sasa tujiulize mabilioni yote yale ya garama za uchaguzi wa marudio yangetosha kujenga madarasa,as a result tumeishia kukopa ili tujenge madarasa. Hakuna Cha maana alicho acha tofauti na kutuachia Bashite na Sabaya
 
Kwa hiyo sisi watanzania tusio na vyama ndo tulichagua mbunge mmoja tu wa upinzani( yule dada wa Nkasi)? Na Kama hi Hali ikiendelea tutaendelea bado kuwa kisiwa cha amani?
Hahahaa umenikumbusha mbali sana
 
Sisi hatukutaka rais mwizi wa kura, refer uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020,maana ni hatari kwa amani ya nchi. I may be a little clazy but I'm not stupid,wabunge wote waliounga juhudi( kuhama vyama) walirudishwa kugombea na kupewa vyeo na Magufuli. Sasa tujiulize mabilioni yote yale ya garama za uchaguzi wa marudio yangetosha kujenga madarasa,as a result tumeishia kukopa ili tujenge madarasa. Hakuna Cha maana alicho acha tofauti na kutuachia Bashite na Sabaya
Relax
 
Unamkosea sana

..Jpm alikuwa katili na laghai.

..Alimsingizia Lissu uongo ili ahalalishe shambulizi dhidi yake.

..Alidai Lissu alikuwa akiwasiliana na Deo Mwanyika wa Barrick na kuita huo ni usaliti

..Baada ya hapo Lissu akashambuliwa na watu wenye silaha ktk eneo la serikali huku ulinzi ukiwa umeondolewa.

..Lissu amekanusha tuhuma kwamba aliwasiliana na Deo Mwanyika. Amedai kuwa alisingiziwa.

..Deo Mwanyika aliteuliwa na Kamati Kuu iliyoongozwa na Jpm kuwa mgombea ubunge wa Ccm Njombe mjini.

..Katika utawala wa Jpm yalifanyika mambo ya kinyang'au ambayo mimi kama Mtanzania sikutegemea yanaweza kufanyika ktk nchi yetu.
 
Mambo ya kisiasa tu hayo mara nyingi kujua nyuma ya pazia kulikuwa na kipi ni ngumu sana
 
Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo.

Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa ambao kwa namna moja au nyingine zilimpotezea ubora wake :-
1.Mtu wa Visasi ,kwenye hii Dunia kila siku tunakosana na kutofautiana na watu wengi sana katika Haya wengi husamehe wengine hawawezi hivyo hutulia na kusubiri muda muafaka wa kulipa visasi.

Kiongozi watu aliweza kulipa visasi kwa vikundi mpaka kwa ngazi ya mtu mmoja mmoja ,kuna watu walikuwa maskini ,Nchi waliiona Chungu kwa sababu za visasi tu ,kwamba nlikuwa sina mamlaka sasa ninao mtakoma ,hii tabia iliharibu sana Nchi na ndio watu walisema ukatili.

2.Hakuwa Muwazi ,Katika Uongozi kuna mambo unaweza waficha wananchi wako lakini Mambo yanayo husu Maendeleo yao ni bora tukajua ,Tulikopa sana ,Tulipewa misaada Mingi ,tulipewa Pesa za COVID-19 ,kuna hela zilikusanya kwa Nguvu zikiwemo za madeni ya Nyuma kutoka kwa Matajiri na watu kama kina Sabaya na kwenda kufanya maendeleo bila watanzania kujua .
Mambo haya yote watanzania ilibidi wajue ,ili hata tunavyo ambiwa Deni la Taifa ni Trilioni 70 tunaelewa sio kuficha Taarifa .
Hivyo watanzania visasi havifai mtu ulikosana nae Darasani ,ukiwa Waziri ,JF ukipata Cheo kikubwa zaidi Tusahau na kusonga mbele .
Lakini mbali na mapungufu hayo makibwa mawili bado JPM ni mfano wa kuigwa kwa wazalendo wote aliipenda sana Tanzania .
Visasi na Kutokuwa Muwazi sio sifa nzuri kwa kiongozi .
Yule mtu hakuwa na blue print kwamba nchi kaikuta wapi na anataka ainyanyue mpaka wapi, yeye alikuwa anasukumwa na Ego, sifa binafsi na Utukufu binafsi; nchi inaongozwa kwa maono na maadili kadha wa kadha lakini moja kubwa ni kuheshimu Sheria mama aka Katiba ya nchi, kutenda haki, taifa haliongozwi kwa familia ukiamks una hili, lile na kile! pesa za umma ni mali ya wananchi sio mali yako binafsi, lazima uziheshimu na kuzitumia kwa kufuata malengo ya kikatiba.
Kifupi Magu hakuwa na maono yoyote kwa ajili ya nchi hii, na mbaya zaidi kushindwa kutambua na kuheshimu haki ya binadamu ya kuishi bila hofu kulimpotezea kila sifa ya kuitwa kiongozi na kubakiwa kuwa mtawala katili kama walivyokuwa kina Adolf Hitler, Saddam Hussein, Idd Amin Dada, Muamar Ghadafi, Jean Bedel Bokassa na makaburu wa Afrika ya Kusini enzi hizo; Anyway tunamshukuru Mungu kwa kuamua ugomvi sasa Nchi imetulia!
Na aendelee kupokea adhabu ya kaburi kwa kadri anavyostahiki!
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Lilomgharimu zaidi ni janja janja na uongo. Hili baadaye lilimpa hasira pale wananchi wema walipofunua ukweli juu ya yale aliyodanganya na hii ilimpa hasira sana kuanza kuwaua hovyo wakosoaji wake.

Unamfananisha na madikteta mkuu hakuwa mbaya kiasi hicho
 
Hakika JPM alikuwa mwiba haswa kwenu vingwendu ,bado mnapambana na maiti
 
Back
Top Bottom