Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

Nyie mnachanganya Mambo..watu wakiwa wananyooshwa warudi kwenye mstari nyie mnaita eti visasi..binadamu mna shida sana...waswahili wanasema samaki mkunje bado mbichi..Sasa masamaki mengine yalishaachwa yakakomaa, unadhani utayakunjaje....lazima utumie nguvu ya wastani lasivyo hutayaweza..acheni kulalama..wananchi walitaka Rais wa namna hiyo kipindi hicho

Umeandika kwa hisia sana
Niliwahi kukaa airport Mwanza(2018) mda mrefu sababu kulikuwa na delay ya flight, tukiwa pamoja na mmoja wapo ya wabunge hawa 19 wa chadema waliofukuzwa. Aliyokuwa ananieleza pale kuhusu biashara ya uchuuzi ya wapinzani kwa kile kilicho itwa kuunga juhudi yanasikitisha sana sana sana sana sana sana sana sana sana. Na alikuwa anaongea honestly kabsa kwa sababu akiwa pembeni yangu alisikia maongezi yangu kwenye cm,hivyo alijua mimi sio mwana siasa wala sikuwa na madhara yoyote kwake. HII NCHI NI YA AJABU SANA ALINIONYESHA MSG ZA WHATSAPP NILISHANGAA SANA JINSI HELA YA UMMA ILIVYOKUWA INACHEZEWA.
 
Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo.

Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa ambao kwa namna moja au nyingine zilimpotezea ubora wake :-
1.Mtu wa Visasi ,kwenye hii Dunia kila siku tunakosana na kutofautiana na watu wengi sana katika Haya wengi husamehe wengine hawawezi hivyo hutulia na kusubiri muda muafaka wa kulipa visasi.

Kiongozi watu aliweza kulipa visasi kwa vikundi mpaka kwa ngazi ya mtu mmoja mmoja ,kuna watu walikuwa maskini ,Nchi waliiona Chungu kwa sababu za visasi tu ,kwamba nlikuwa sina mamlaka sasa ninao mtakoma ,hii tabia iliharibu sana Nchi na ndio watu walisema ukatili.

2.Hakuwa Muwazi ,Katika Uongozi kuna mambo unaweza waficha wananchi wako lakini Mambo yanayo husu Maendeleo yao ni bora tukajua ,Tulikopa sana ,Tulipewa misaada Mingi ,tulipewa Pesa za COVID-19 ,kuna hela zilikusanya kwa Nguvu zikiwemo za madeni ya Nyuma kutoka kwa Matajiri na watu kama kina Sabaya na kwenda kufanya maendeleo bila watanzania kujua .
Mambo haya yote watanzania ilibidi wajue ,ili hata tunavyo ambiwa Deni la Taifa ni Trilioni 70 tunaelewa sio kuficha Taarifa .
Hivyo watanzania visasi havifai mtu ulikosana nae Darasani ,ukiwa Waziri ,JF ukipata Cheo kikubwa zaidi Tusahau na kusonga mbele .
Lakini mbali na mapungufu hayo makibwa mawili bado JPM ni mfano wa kuigwa kwa wazalendo wote aliipenda sana Tanzania .
Visasi na Kutokuwa Muwazi sio sifa nzuri kwa kiongozi .
Alikuwa ni Rais wa HOVYO sana kutokea katika Nchi yetu. Rais anayemiliki kikundi bunafsi cha kuteka, kutesa na kuua maarufu kama WASIOJULIKANA. Tumrudishie Mungu sifa zake kwa kumnyakua maana alikuwa anatupeleka kubaya kiuchumi na kijamii
 
Haiwezekani kabisa kabisa kiongozi wa nchi yeyote ile hapa duniani akamridhisha kila mtu. Hata manabii wa Mungu hawakuweza hilo jambo. Lakini......... Magufuli alipitiliza yale mapungufu ya kawaida ya ki-uongozi.
Childish
 
Mambo ya kisiasa tu hayo mara nyingi kujua nyuma ya pazia kulikuwa na kipi ni ngumu sana

..angekuwa hahusiki angewakamata wahusika.

..yule alikuwa anapenda sana sifa, na kutukuzwa, sasa nashangaa ktk shumbulio la Lissu hakutaka sifa ya kuokoa maisha yake, au kuwakamata waliotaka kumuua.
 
Niliwahi kukaa airport Mwanza(2018) mda mrefu sababu kulikuwa na delay ya flight, tukiwa pamoja na mmoja wapo ya wabunge hawa 19 wa chadema waliofukuzwa. Aliyokuwa ananieleza pale kuhusu biashara ya uchuuzi ya wapinzani kwa kile kilicho itwa kuunga juhudi yanasikitisha sana sana sana sana sana sana sana sana sana. Na alikuwa anaongea honestly kabsa kwa sababu akiwa pembeni yangu alisikia maongezi yangu kwenye cm,hivyo alijua mimi sio mwana siasa wala sikuwa na madhara yoyote kwake. HII NCHI NI YA AJABU SANA ALINIONYESHA MSG ZA WHATSAPP NILISHANGAA SANA JINSI HELA YA UMMA ILIVYOKUWA INACHEZEWA.
Jomba unatuhadaa na maneno yako..fafanua jomba
 
Hela

Hela imechezewa kivipi..na mbona ulikaa kimya au na wewe ulikuwa mnufaika..hizo ni hekaya za abunuwasi jomba
 
Kama watu wanataka maendeleo, ni kipi kilimfanya Nyerere kutumia raslimali za nchi yetu kwenda kuwakomboa weusi wa Afrika kusini, wakati makaburu waliijenga sana Afrika kusini? Kiongozi anayekubalika sana kipimo ni kuheshimu uchaguzi. Magufuli hakuwahi kuheshimu uchaguzi na alipika idadi ya wapiga kura na kura, ili kulazimisha kuonekana anakubalika sana.
Kwahiyo unaamini kabisa Tundu Lissu alishinda uchaguzi mkuu dhidi ya Magufuli?
 
Alikuwa ni Rais wa HOVYO sana kutokea katika Nchi yetu. Rais anayemiliki kikundi bunafsi cha kuteka, kutesa na kuua maarufu kama WASIOJULIKANA. Tumrudishie Mungu sifa zake kwa kumnyakua maana alikuwa anatupeleka kubaya kiuchumi na kijamii
Habar zisizo nanushahidi au za kutunga nadhan haziruhusiwi humu jamvini..mods tafadhali take your position
 
..angekuwa hahusiki angewakamata wahusika.

..yule alikuwa anapenda sana sifa, na kutukuzwa, sasa nashangaa ktk shumbulio la Lissu hakutaka sifa ya kuokoa maisha yake, au kuwakamata waliotaka kumuua.
What about Lissu alivyookolewa maisha pale Dodoma hospital..hivi angekuwa amedhamiria hayo unadhan pale Ange survive..mbona mnataka kutufikirisha Mambo yasiyowezekana.....
 
Kwa hiyo sisi watanzania tusio na vyama ndo tulichagua mbunge mmoja tu wa upinzani( yule dada wa Nkasi)? Na Kama hi Hali ikiendelea tutaendelea bado kuwa kisiwa cha amani?
Kama chama kimepoteza mvuto kwanini unashangaa kushinda mbunge wake mmoja?
 
Hela

Hela imechezewa kivipi..na mbona ulikaa kimya au na wewe ulikuwa mnufaika..hizo ni hekaya za abunuwasi jomba
Teh! Nasari alipeleka ushaidi wa biashara ya uchuuzi wa madiwani wa Jimbo lake Takukuru. Hatua gani zilichukuliwa? Nape ALITISHIWA bastola mchana kweupe ni hatua gani zilichukuliwa? Siku Lissu anashambuliwa walinzi waliondolewa ni hatua gan zilichukuliwa?
 
What about Lissu alivyookolewa maisha pale Dodoma hospital..hivi angekuwa amedhamiria hayo unadhan pale Ange survive..mbona mnataka kutufikirisha Mambo yasiyowezekana.....

..kwa idadi ya marisasi waliyompiga walikuwa na uhakika kuwa Lissu atakufa kwamba uwezekano wa Madaktari kuokoa maisha yake hospitali ulikuwa asilimia 0.

..wangekuwa hawajahusika wasingemsusia alipopelekwa Nairobi. Pia wangewatia nguvuni waliohusika. Na wasingemfukuza ubunge.
 
Kwahiyo unaamini kabisa Tundu Lissu alishinda uchaguzi mkuu dhidi ya Magufuli?

Hatuzungumzii mshindi, bali mshindi wa halali. Tulitaka tuone ushindani wa haki ili tuone nguvu ya kukubalika kwa wote.
 
..kwa idadi ya marisasi waliyompiga walikuwa na uhakika kuwa Lissu atakufa kwamba uwezekano wa Madaktari kuokoa maisha yake hospitali ulikuwa asilimia 0.

..wangekuwa hawajahusika wasingemsusia alipopelekwa Nairobi. Pia wangewatia nguvuni waliohusika. Na wasingemfukuza ubunge.
Hizo assumption zako ni invalid..hata kama marisasi sijui nini bado wangekuwa na Nia mbaya wangehakikisha lengo la kummaliza linatimia...mpaka katika level ya madaktari ..usifanye mchezo na dhamira ya moyo jomba....futa delete kabisa hiyo mawazo
 
Hatuzungumzii mshindi, bali mshindi wa halali. Tulitaka tuone ushindani wa haki ili tuone nguvu ya kukubalika kwa wote.
Sema mwamba unaushabiki Sana unauchadema mno binafsi sina huo ushabiki ulionao wewe nashukuru Sana Mungu kwakutokuwa mshabiki wa chama Cha siasa shida unakuwa mtumwa wa kifikra kama wenzako wa matanga hiv huo ushabiki unawasaidia nini?
 
Hizo assumption zako ni invalid..hata kama marisasi sijui nini bado wangekuwa na Nia mbaya wangehakikisha lengo la kummaliza linatimia...mpaka katika level ya madaktari ..usifanye mchezo na dhamira ya moyo jomba....futa delete kabisa hiyo mawazo

..assumptions zako ndio invalid.

..kwa mfano, unajuaje kama walikuwa na mpango wa kummaliza hospitali ila walichelewa?

..mwisho, nadhani utauliza kwanini ndege iliyompeleka Lissu Nairobi haikutunguliiwa kwasababu uwezo na dhamira walikuwa nayo.
 
Back
Top Bottom