Kuna nyumba nimeiona.Paleee!Sidhani kama mabati yamepangwa juu ya migomba!😝😝😝😝Mkuu naona migomba tu ..vip wachaga hao ulio wamwagia sofa kemkem wanakaa juu ya migomba Kama ngedere?
Mbona sioni hata nyumba moja, naona migomba michache tena isio na afya nzuriWakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua wanamaeneo mazuri yakufikia.
Tabia nzuri na ya kuigwa.
View attachment 1838693
Kwahio tabia hii ya kupanda migomba ndio ya kuigwa?Wakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua wanamaeneo mazuri yakufikia.
Tabia nzuri na ya kuigwa.
View attachment 1838693
Nusu nusu tuchukue mke huku NrongaHii ni Nronga nini?
Na majani ya miwaNi migomba tu umeona?
Ngoja niangalie vizuriKuna bati ya msouth hapo kwa chini.
a
Mkuu utakua mwenyeji wa wampembe ziwa rukwa au,laela sio bure.tena mundali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazo zuri..
Nenda kajenge kule kwenu Ileje ndani ndani.. Au Kantalamba huko sijui bondeni ziwa Rukwa.. Litakuwa jambo jema but bado haitokuwa sababu pekee ya kukufanya uende kila mwaka.
Hiyo ni migomba ama miwa au fito? CC carihaKwahio tabia hii ya kupanda migomba ndio ya kuigwa?
Wenye wivu huwa mna julikanaMbona sioni hata nyumba moja, naona migomba michache tena isio na afya nzuri
Majani ya ng'ombe sio miwaNa majani ya miwa