Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Jenga sehemu yoyote yenye fursa na sio kujenga kisa ni kwenu or something. Dunia inaendelea kwa kasi sana hivyo ukibaki na mawazo ya miaka ya 1960 utakuwa unajitafutia kufa masikini.
jenga popote pale penye fursa hata marekani, ila kama umeona kilimo ni fursa basi jenga huko shamba.
mtu mwenye akili ya kujenga kwao mradi ni kwao karne hii lazima atakuwa na mindset ya kitoto.