Mkuu unajua hii ni karne gani ?
Nikukumbushe tu nyumbani kwako ni pale unapoishi...., haya mambo ya maisha yako unapumulia watu / majirani zako unaoishi nao ma-carbon-dioxide alafu eti unajifanya sijui nyumbani ni wapi ambapo ukubwani kwenda kwako huko ni theluthi ya maisha yako sidhani kama kunajenga....
By the way itafika wakati vijiji vinapokuwa miji kutakuwa hakuna kijiji cha wachagga wala wahaya bali watanzania..., yaani unakwenda kule so called kwenu hakuna anayekujua.... (Sadly that's a fact of Life)