Tabia hizi zina kera watu wengi

Kabla ya kuzoeana ulikua unapendeza vizuri tu tumezoeana unaanza kuvaa madera yako ambayo hayaeleweki, Khanga imepaukaa na nywele zako kitimtim kama kichaa yuko Halftime.
sasa si kasha kuzoea
 
Mtanzania tena anaeonekana mzawa kabisa kushindwa kutofautisha herufi.

Kwenye R anaweka L kwenye L anaweka R alimradi vurugu,inakera sana ondoa kwanza boriti ndiyo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio
 
Mtanzania tena anaeonekana mzawa kabisa kushindwa kutofautisha herufi.

Kwenye R anaweka L kwenye L anaweka R alimradi vurugu,inakera sana ondoa kwanza boriti ndiyo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio
Hiyo kawaida sana kutokana na lafudhi
 
Anhaa! Nawewe unakera maana hujui matumizi ya "L" na "R".
Hivyo rudi shule haraka iwezekanavyo kabla hujaendelea kutukera zaidi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ