Tabia hizi zina kera watu wengi

Unamuheshimu mtu vizuri halafu unakuta ni shabiki la utopolo kwa kweli inatia hasira😥
 
Mwenye nyumba au frame kuja kila mara na kukuomba umkopeshe na usipo mpa next time anakuzoea kuja kuuliza biashara inaendaje yanakhihusu nini
 
Tabia ya mtu kuandika kama anakimbizwa inakera watu wengi sana

Mfano wewe Mwachiluwi uandishi wako unakera kinyama...nakuvutia kasi nikuongeze kwenye ignore list

Kukutana na mtu mzima anayeandika maneno kama kukoloma ni ujinga mtupu...eti UHO
 
Hao wenyenyumba mnawakutaga wapi
 
Tabia ya mtu kuandika kama anakimbizwa inakera watu wengi sana

Mfano wewe Mwachiluwi uandishi wako unakera kinyama...nakuvutia kasi nikuongeze kwenye ignore list

Kukutana na mtu mzima anayeandika maneno kama kukoloma ni ujinga mtupu...eti UHO
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…