Tabia hizi zina kera watu wengi

Kuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Kuna wale wanachokonoa pua na kidole halafu ni wakwanza kutoa salamu ya kushikana mikono
 
Hii namba 1 na 2 watu wanaokerekwa kutokatana na tafiti inasemekana ni dalili za matatizo ya saikolojia
 
Wale wanaandika
1.LOHO badala ya ROHO
2.KALATASI-KARATASI
3.OHU -HUO
 
Kuna ile ya mtu ana chew (kutafuna) chakula kingi kuliko uwezo wake, shit is irritating asf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…