Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF


Don Cle hizo IDs si halisia ila naamini kuna zinazoreflect uhalisia wa mtu, mfano hizo zenye majina mazuri mazuri,inawezakua kweli ni wazuri kama I'd zao ujue hautaamini.

Mi I'd yangu ngumu sijui nakumbuka mwanzo nilikua naulizwa we ni "ke or me" [emoji3]



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni Fantasy tu.

Tunajiita majina mazuri ili angalau kujipa faraja.

Kwamba mtaani tupigike hadi humu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]
Hivi kumbe ndio huyu?loh!masikini nilishasahau ile ID

Ile siku aliniita kenge nilikuwa na bad mood nikamjibu [emoji867][emoji867] eti

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…