Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

PEPSI BIG

Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
37
Reaction score
23
Jaman wazima humu
Hakuna sehemu wanaume wanajifanya wajuaji wakila aina ya kitu kama humu ndani

Ujuaji,majivuno yaani wanaume wa humu hakuna kitu kabisa kila aina ya kitu wanaijua wanawake wenye makalio wenyewe,weusi wenyewe,sijui nini wasichokijua

Kuwasema wanawake wenyewe,kujifanya wanamipesa wenyewe yaani tabu tupu nauhakika wengi madomo zege na masikini wavipato wachache sana wanakula milo mitatu

Hakuna wanaume humu wengi ni wahitimu wa vyuo wanasota kutafuta ajira kutwa masimango yasiyo na msingi kwa serikali umbea umbea tu umewajaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kimekuuma pasuka
Nilisahau kutwa kuwasimanga ma single mama yaani umasikini wamawazo mbona sijawahi kumuona mzee Asprin na Mshana Jr akitoa upuuzi upuuzi mkue humu tutakua tunawakimbia
Tukiwahoji huku mtaani tukisikia mnatumia jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ni jinsia gani?

Kwa hiyo kama tumemaliza chuo na hamna ajira tufanyaje eti?

Kama jambo unalijua upige kimya uwe kama hujui..?

Mtaani muwe mnatukimbia afu mnakimbilia wapi ?

Hongera kwa maoni yako japo wako watakaosema ni stress za single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi tena bibie, wewe juzi si ndio ulisema amna wanaume wanaoongoza kwa kumwaga mahela kama hawa wa jamiiForum?
Bila shaka wameshakufanya kitu kibaya either wamekupiga mande au wamekuomba ndogo.
Kumbuka mla huliwa
 
Ambacho hukijui hao wawili uliowaainisha hapo juu ndio MAKAPTENI WETU narudia tena NDIO MAKAPTENI WETU over.
 
Nisameeni wakuu

Ngoja niwaeleze ni hivi huyu Dada nilikuwa nachat nae humu tukaamia wasap akanirushia picha kweli alikuwa mkali

Tukapanga tuonane looh kikaja kituko kumbe sio yeye lakini nilijikaza tukala tukanywa tukaamia guest usiku nikamkimbia sikumpa kitu maana kwa nini anidanganye
Oyaa wazee alie mla kimasihara huyu Dada akakimbia mungu anamuona embu ona anatutukana wote [emoji16][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman wazima humu
Hakuna sehemu wanaume wanajifanya wajuaji wakila aina ya kitu kama humu ndani

Ujuaji,majivuno yaani wanaume wa humu hakuna kitu kabisa kila aina ya kitu wanaijua wanawake wenye makalio wenyewe,weusi wenyewe,sijui nini wasichokijua

Kuwasema wanawake wenyewe,kujifanya wanamipesa wenyewe yaani tabu tupu nauhakika wengi madomo zege na masikini wavipato wachache sana wanakula milo mitatu

Hakuna wanaume humu wengi ni wahitimu wa vyuo wanasota kutafuta ajira kutwa masimango yasiyo na msingi kwa serikali umbea umbea tu umewajaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kimekuuma pasuka
Nilisahau kutwa kuwasimanga ma single mama yaani umasikini wamawazo mbona sijawahi kumuona mzee Asprin na Mshana Jr akitoa upuuzi upuuzi mkue humu tutakua tunawakimbia
Tukiwahoji huku mtaani tukisikia mnatumia jf

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh...
 
Kaaa kimya tu mbona mimi mwenzio wa humu JF amenifirisi na Niko sarama tu! Na tuko wengi humu.

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom