Aiseeee vita ya leo kali sana,
Men Dar vs Men Mkoa.
Nafuatilia mpambano kwa makini,
Mshindi nitamtangaza.
Oya taratibu wee wa kuja!PANYA ROAD nasikia wanakimbiza na kufunga mtaa. Inakuaje na wanaume wa Dar wanakua wapi mda huo? Ha ha ha ha haaaa! Nasikia ndio maana Police huchukuliwa wanaume wa Dar, ila JWTZ wanachukuliwa Mikoani. Basi jamaa watakua na sababu za msingi zaidi.
Alafu cha kushangaza hilo indi moja ndo msosi wa usiku.------->Dume zima linakula Muhindi wa Kuchoma na Limau ama Ndimu kama Mama Mjamzito....... Huu si Ufala.....
Kufanyana vibaya ni nyie huko ndo mwafanyana.Jamani mbna inajulikana hata mikoani kunawatu wenye tabia hizo. Bila shaka huyu mleta mada kafanywa vbaya na vjana WA DAR
Dar ndo kituo kikuu cha mamende, ndo maana mleta thread kamendewa then katika nduki....au---------> Wanaume wa dar wakiona Mende tu wanajijambia ......... Hawa ni janga la Taifa.
Sio arusha mkuuu labda moshi na ni zamani sana sasa hiv hakuna mtu anayeua mume wakenavyojua mimi wanawake wa arusha ndio wanaoongoza kuua waume zao msifiche madhaifu yenu
Dar ndo kituo kikuu cha mamende, ndo maana mleta thread kamendewa then katika nduki....au
Aiyaaaa naona mashambulizi yamekua makali sana dhidi ya Men Mkoa kwenda kwa Men Dar,
Ila ngoja tuone, muda bado unaruhusu, chochote chaweza kutokea.🙂
Kufanyana vibaya ni nyie huko ndo mwafanyana.
PANYA ROAD nasikia wanakimbiza na kufunga mtaa. Inakuaje na wanaume wa Dar wanakua wapi mda huo? Ha ha ha ha haaaa! Nasikia ndio maana Police huchukuliwa wanaume wa Dar, ila JWTZ wanachukuliwa Mikoani. Basi jamaa watakua na sababu za msingi zaidi.
Mkuu huyu mtu wa Shamba kuna kitu KAFANYWA na wanaume wa Dar si bule huyu
Jamani mbna inajulikana hata mikoani kunawatu wenye tabia hizo. Bila shaka huyu mleta mada kafanywa vbaya na vjana WA DAR
Hicho ndo kilichokukimbiza, yaelekea ulikuwa unapenda kuchunguzachunguza maisha ya watu wakaamua kukufungia kazi na kukuomba nyuma,
Na ole wako ungekuwa mnywa pombe ukapewa ofa ukaikubali, lazima ungetafunwa
Una bahati sana, siku nyingine uwe mwangalifu, usidhani kukunja ndita usoni ndo watu tutakuogopa, tunakufumua tu, sura inafunikwa na gazeti
hawa "wanaume" kweli noma, badala ya kujibu hoja kiume, wao pointi yao kuu ni "mtoa mada aliingiliwa na mwanaume wa dar"Watu wa mapolini huwa nawashangaa sana wakija Dar wanahadisia jamaa zao wote na wakisharudi huwa tiketi hawatupi ili kumuonesha kila mpolipoli mwenzake kuwa alikuwa mjini.sasa nakushangaa wewe sijui UMEFANYWAJE hadi unalalamika.
Kwani ktk post yako no11 ulimaanisha nn,ndyo kuolewa kwenyewe kule usiwashangae nawe inaonekana waweza kuwa hvyo sababu umeingia dar slum mwezi tu umejua tabia zote hzo,jiangalie mjini usiwe mdadisi sn fuata yko sepa kjanaIma maana wanaume wa Dar wanaoa wanaume wenzao pia? Hii itabidi niionheze ktk list.