Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Mbona hata wale wanaume wa Bara wale wamasai wanasuka rasta na wanazipaka rangi zinakuwa nyekundu
Alafu eti mnawekaga miguu kwenye kalai lenye maji kisha dume lingine linawasafisha miguu, this is too much.
 
Unasemaaa[emoji15] [emoji15]
 
Wanaume wa mikoa wanajivunia Nguvu tu,,za kiume na zngn hahahahahaha mtaish kimasikin hivohivo na mashamba mnayo
Wadada wa mujin sikuhiz hawatak kufanywa sana ni pesa tu na huduma zote nampiga bao 1 tu na nikiongeza la supu ya pweza2 saaf amerizka tunaenda viwanja kumchek Dia au kiba
 
Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?

Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
sisi kwetu moshi kuna mwanaume amepeleka bendera ya tanzani mount evarest inapepea pale kuitangaza tanzania sio hao warembo wa dar
 
Nyie wenye laana limeni mlete mazao mjin tuwape hela,na mje na nguo zenu tunahitaji sana walinzi wa magetini,watu wa kutuoshea magari,house boy wa kufua vyupi,nguvu zenu watu wa bara tunazhitaji sana.
 
Mwanaume wa Dar ushashiba kiepe yai, tayari una nguvu za kuanzisha thread!
 
Kali zaidi ilikuwa ile ya panya road, hapo jamaa walitudhalilisha sana. Sipati picha hapo panya wajichanganye siku moja watokee hapa kabwe au eneo lolote Mbeya...
Panya road walikua kikundi cha watu na silaha za jadi,unakumbuka kule kwenu mlikimbizwa na kulala saa 12 na kijamaa kimoja?
 
INAWEZEKANA BAO LAKE MOJA LINACHUKUA SAA ZIMA..sawa huwez mfananisha na mtu mwenye bao za jogoo...ambaye anweza piga ata bao kumi
wewe mr mtui na wewe ni mwanaume wa dar? mbona hilo jina haliakisi?
 
sisi kwetu moshi kuna mwanaume amepeleka bendera ya tanzani mount evarest inapepea pale kuitangaza tanzania sio hao warembo wa dar
Tena nyie ndio mnyamaze kabisa pmbv sana mmetudhalilisha sana watanzania,wanawake wanavuka boda kisa dushe!!!

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?

Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
Kweli wewe mwanaume wa Dar..
 
Alafu na wale maafande wanaume wa Dar unakuta eti ana SMG ila jamaa mwenye bisibisi anamnyang'anya silaha, yaani huu mji wanaume wake sijui wakoje, sijui ni chips yai au kashata au mahindi na ndimu? Wapo legelege sana.
Afadhari jwtz wenyewe huchukua wa mikoani.
 
Mbona wale askari wenu pale Dodoma juzi wameporwa silaha kwa panga tu?
 
Hii dhambi ya ubaguzi na ikawatafune muishe.. sote sisi ni watanzania pumbavu zenu..
kafanyeni kazi
 
Eti mtu anakula ugali asubuhi anajisifu,kuna binadamu wa ajabu sana,lishe zisizo na mapangilio ndo mtu anajiita mwanaume,tatizo ni shule naona,balance diet kwenu ni nini?

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…