emmanuel alphaxad
Senior Member
- Oct 23, 2015
- 114
- 16
Wanaume wa Dar mpo?Jibuni hoja hz au na nyinyi in majipu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu eti mnawekaga miguu kwenye kalai lenye maji kisha dume lingine linawasafisha miguu, this is too much.Mbona hata wale wanaume wa Bara wale wamasai wanasuka rasta na wanazipaka rangi zinakuwa nyekundu
Unasemaaa[emoji15] [emoji15]Manina zenu wanaume wa mikoani wote Mutuache na maisha yetu hata wake zunu wanatupenda sana ndio maana tukija huko mikoana wanashoboka tulivyo maHANDSOME watoto wenu wa kike wanapenda maisha yetu
We are so smart kichwan,,mwilin mpaka kuzitafuta pesa Haina kutumia nguvu nying sana hamuon tunamagari?
Jim tunaenda tunaish kismat sana
Nyie endeleen kung'oa visiki,,na kulima maparachichi mlete dar tuwape pesa na tuwatapel
sisi kwetu moshi kuna mwanaume amepeleka bendera ya tanzani mount evarest inapepea pale kuitangaza tanzania sio hao warembo wa darHivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?
Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
Mwanaume wa Dar ushashiba kiepe yai, tayari una nguvu za kuanzisha thread!Naona kila tukiwajadili wasanii wetu mnatutukana mara hatutaki kazi tumekalia umbea sijui, mara tunashinda vijiweni na kwenye ma pool table kumjadili Dai na Wema na Kiba na Zari na Chidi na Le Mutuz na mastaa wengine
Sasa mnachoshindwa kujua ni kuwa hawa wasanii ni public property, tunamaslahi nao kwasababu wanatuhusu tunasikiliza nyimbo zao tunaangalia muvi zao na tunaudhuria Party zao(refer ya Le Akili Kubwaz pale Kempinsky) tuna haki wa kuwa Diss-cuss.
Naomba mtuache na uanaume wetu wa Dar.
Wanaume wa Dar woyee!
Panya road walikua kikundi cha watu na silaha za jadi,unakumbuka kule kwenu mlikimbizwa na kulala saa 12 na kijamaa kimoja?Kali zaidi ilikuwa ile ya panya road, hapo jamaa walitudhalilisha sana. Sipati picha hapo panya wajichanganye siku moja watokee hapa kabwe au eneo lolote Mbeya...
Waendelee kung'oa visiki sis tunaongeza magar,,wanaringia Nguvu za kiume sana hawa,,sasa siwanakula vyakula vya asili? Watuache bhaaanaUnasemaaa[emoji15] [emoji15]
wewe mr mtui na wewe ni mwanaume wa dar? mbona hilo jina haliakisi?INAWEZEKANA BAO LAKE MOJA LINACHUKUA SAA ZIMA..sawa huwez mfananisha na mtu mwenye bao za jogoo...ambaye anweza piga ata bao kumi
Tena nyie ndio mnyamaze kabisa pmbv sana mmetudhalilisha sana watanzania,wanawake wanavuka boda kisa dushe!!!sisi kwetu moshi kuna mwanaume amepeleka bendera ya tanzani mount evarest inapepea pale kuitangaza tanzania sio hao warembo wa dar
Kweli wewe mwanaume wa Dar..Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?
Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
Mimi sijawahi kuona watu wenye wivu kama Wanaume wa Bara...Ukiishi Dar tu ww ni celebrity maana mnavyotufatilia mngekua mshalima viheka kadhaa huko mashambani"
Mbona wale askari wenu pale Dodoma juzi wameporwa silaha kwa panga tu?Alafu na wale maafande wanaume wa Dar unakuta eti ana SMG ila jamaa mwenye bisibisi anamnyang'anya silaha, yaani huu mji wanaume wake sijui wakoje, sijui ni chips yai au kashata au mahindi na ndimu? Wapo legelege sana.
Afadhari jwtz wenyewe huchukua wa mikoani.