Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Mikorogo na bleach ndo zao
msaliti wewe...Muone kwanza!
We kila siku unapeana nao hai,unapiga nao story kila siku hapa mabibo hlfu ukija huku unawageuka😡😡😡😡
Beba mabegi yako urudi kwenu upareni ukasaidie kulima mahindi..Nauli ntalipia! wafuate hao wanaume wa bara unaowaona vidume....Nasema anza kufungasha wafate kabla mashetani yangu hayajapanda...
 
Mimi sijawahi kuona watu wenye wivu kama Wanaume wa Bara...

Alafu ni washamba vibaya mno
Haha kuna siku nilikua ubungo pale mataa kwenye foleni kuna basi moja limetoka sijui mkoa gani lile lilikua limechafuka mbayaa kwanza limechoka hao watu sasa waliomo ndani daaaaah kama mazombi wanavumbii jekunduu yan ile safari nahisi wametumia siku 5 kufika mjini dar slaam haha."
Naona swala la kuoga watu wa bara ni kitendawili [emoji23]
 
Bao moja tena la spana? Duh, nyie wa Dar ni shida. Alafu unajivunia kabisa kuwa unaenda kuwaangalia wanaume wenzako kina kiba wakikatika, aiseeee!
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bao moja tena la spana? Duh, nyie wa Dar ni shida. Alafu unajivunia kabisa kuwa unaenda kuwaangalia wanaume wenzako kina kiba wakikatika, aiseeee!
Nimeamini nyie kweli mazombie kwenda kwenye shoo nako pia hamtaki?wale vijana waliojiajir kupitia mziki watapata wapi rizki tusipoenda?
 
umesahau wanahudhuria vigodoro pia
 
Nimeamini nyie kweli mazombie kwenda kwenye shoo nako pia hamtaki?wale vijana waliojiajir kupitia mziki watapata wapi rizki tusipoenda?
Shoo za nini? Kama shoo nenda za wanaume, sio unaenda za wakata viuno, wakikata viuno wewe unapiga keleleeeeeeeee mikono juuuuuuuuu semaa oooohhhh ohhhhh!!
 
Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?

Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
Tunailisha tanzania nzima.

Wanaume gani mko bize kujadili kuhusu wema sepetu na sijui mama tiffah?
 
They are So weird. It is only in dar that men eat chips and drink fanta passion
Kwa hiyo nyie wanawake wa Mbeya ndo mnalima viazi na kutengeneza fanta pasheni pale Afri-bottler Limited ABL pale Mbeya na zote mnaleta Dar..?
 
Sasa kama mnapiga shoo sana inakuwaje hao wanawake wenu wanakimbilia huku Dar na kutulilia tuwaoe
wanakuja kuwa chuna,kwani mnatoa hela nyingi,halafu shoo nusu saa centa bolti ishakata,uku sisi tunahonga kidogo ila mzigo unao pigwa kinoma...nadhani,unaona ni kwanini wanawakimbilia...pesa zenu,ila wakitaka kukata stimu wanakuja kwetu
 
Bao moja tena la spana? Duh, nyie wa Dar ni shida. Alafu unajivunia kabisa kuwa unaenda kuwaangalia wanaume wenzako kina kiba wakikatika, aiseeee!
Nyie mnapojipangaga barabara kumcheki Mondi pale Mwanjelwa huwa inakuwaje..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…