Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msaliti wewe...Muone kwanza!Mikorogo na bleach ndo zao
waweza thibitisha hili?Dar. bao moja tu hoiiii!
Haha kuna siku nilikua ubungo pale mataa kwenye foleni kuna basi moja limetoka sijui mkoa gani lile lilikua limechafuka mbayaa kwanza limechoka hao watu sasa waliomo ndani daaaaah kama mazombi wanavumbii jekunduu yan ile safari nahisi wametumia siku 5 kufika mjini dar slaam haha."Mimi sijawahi kuona watu wenye wivu kama Wanaume wa Bara...
Alafu ni washamba vibaya mno
Bao moja tena la spana? Duh, nyie wa Dar ni shida. Alafu unajivunia kabisa kuwa unaenda kuwaangalia wanaume wenzako kina kiba wakikatika, aiseeee!Wanaume wa mikoa wanajivunia Nguvu tu,,za kiume na zngn hahahahahaha mtaish kimasikin hivohivo na mashamba mnayo
Wadada wa mujin sikuhiz hawatak kufanywa sana ni pesa tu na huduma zote nampiga bao 1 tu na nikiongeza la supu ya pweza2 saaf amerizka tunaenda viwanja kumchek Dia au kiba
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]msaliti wewe...Muone kwanza!
We kila siku unapeana nao hai,unapiga nao story kila siku hapa mabibo hlfu ukija huku unawageuka😡😡😡😡
Beba mabegi yako urudi kwenu upareni ukasaidie kulima mahindi..Nauli ntalipia! wafuate hao wanaume wa bara unaowaona vidume....Nasema anza kufungasha wafate kabla mashetani yangu hayajapanda...
Nimeamini nyie kweli mazombie kwenda kwenye shoo nako pia hamtaki?wale vijana waliojiajir kupitia mziki watapata wapi rizki tusipoenda?Bao moja tena la spana? Duh, nyie wa Dar ni shida. Alafu unajivunia kabisa kuwa unaenda kuwaangalia wanaume wenzako kina kiba wakikatika, aiseeee!
ha haaaaa.....mi siyo wa dar bwana ila najitahidi kuenda etra mileswewe mr mtui na wewe ni mwanaume wa dar? mbona hilo jina haliakisi?
umesahau wanahudhuria vigodoro piaWanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Shoo za nini? Kama shoo nenda za wanaume, sio unaenda za wakata viuno, wakikata viuno wewe unapiga keleleeeeeeeee mikono juuuuuuuuu semaa oooohhhh ohhhhh!!Nimeamini nyie kweli mazombie kwenda kwenye shoo nako pia hamtaki?wale vijana waliojiajir kupitia mziki watapata wapi rizki tusipoenda?
Ni universeni galaxy
Tunailisha tanzania nzima.Hivi nyie wanaume wa Bara kuna kipi mmeifanyia hii Tanzania yetu?
Huko kwenu hamna mtu maarufu hata mmoja ndio maana roho zinawauma sisi kuwajadili mastaa wetu wa Dar
Kwa hiyo nyie wanawake wa Mbeya ndo mnalima viazi na kutengeneza fanta pasheni pale Afri-bottler Limited ABL pale Mbeya na zote mnaleta Dar..?They are So weird. It is only in dar that men eat chips and drink fanta passion
wanakuja kuwa chuna,kwani mnatoa hela nyingi,halafu shoo nusu saa centa bolti ishakata,uku sisi tunahonga kidogo ila mzigo unao pigwa kinoma...nadhani,unaona ni kwanini wanawakimbilia...pesa zenu,ila wakitaka kukata stimu wanakuja kwetuSasa kama mnapiga shoo sana inakuwaje hao wanawake wenu wanakimbilia huku Dar na kutulilia tuwaoe
Nyie mnapojipangaga barabara kumcheki Mondi pale Mwanjelwa huwa inakuwaje..?Bao moja tena la spana? Duh, nyie wa Dar ni shida. Alafu unajivunia kabisa kuwa unaenda kuwaangalia wanaume wenzako kina kiba wakikatika, aiseeee!
hivi mission town inahitaji nguvu?? kila kitu kinamalizikia bar.Mbona unachanganya madawa..Mara wavivu,mara watafutaji na wanajua kuhonga..Lipi ni lipi sasa?
Naona ushapiga Chips yai hapo, shushia na fanta pasheni.Alaf watu wa bara mje mtutolee hawa ndugu zenu ombaomba huku mjini wanatukera na hustle zetu dailee.
Baadae nikale mchuzi wa pweza mambo saaafi Dar raha.Naona ushapiga Chips yai hapo, shushia na fanta pasheni.