Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

NAONA WANAUME ORIGINAL WAMEBAKI WA ARUSHA
Wa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
 
haya maigizo hatuwezi yaruhusu yatokee hapa kaskazini ..
 
Wa Arusha mbona walishagahombea pilau la bure sikukuu ya Eid?? Hawa ndo hawafai kabisa! Wanaume tupo huki TANZANIA (dsm)! Waulizeni wanawake zenu wawaambie.
hiyo itakuwa Dodoma wilaya ya Arusha..
 
hahaha watoboa maskio....wafuga kuchaa...wapaka crimu duh.kweli tanzania sasa imeishiwa wanaume
bora watoboa masikio kwa kudumisha mila, kuliko wale wa Dar wanaovaa vikuku
 
hahahah mkuu unaringia sura nzuri mtoto w KIUME kweli naanza kuamini hu msemo wa JR
Hawa ndo wanavaa suruali na blaus za dada zao.....wana-share hadi mikorogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…