Sio kweli wa Mwanza, hao itakuwa wa Kishumundu.Nyie wanaume wa Mwanza jamani!
Wee kishumundu sio washamba hivoSio kweli wa Mwanza, hao itakuwa wa Kishumundu.
Hahahaaa...... hata wa Mwanza sio washamba.Wee kishumundu sio washamba hivo
Si mnapenda vya bure nyieHahahaaa...... hata wa Mwanza sio washamba.
Wanaume wa Mwanza wanapenda vya bure
Mliowaona sio Wasukuma original, sisi sio wapenda bure.Si mnapenda vya bure nyie
We msukuma wa wapi?Mliowaona sio Wasukuma original, sisi sio wapenda bure.
Hahahaaaa...... miss hili swali la uchokozi.We msukuma wa wapi?
Hata sio uchokozi!Hahahaaaa...... miss hili swali la uchokozi.
Sikuwezi wewe....Hata sio uchokozi!
Mbona uzito wangu wa kawaida tu!Sikuwezi wewe....
Hahahahaaa...... tuishie hapo hapo miss maana tunakoelekea siko.Mbona uzito wangu wa kawaida tu!
Ha haa ushawaza mbali wewe. KwaheriHahahahaaa...... tuishie hapo hapo miss maana tunakoelekea siko.
Nyie mnaokimbia panya road?
Unawapenda wa wapi....???Kuna Waume wa Dar na wa Bara eeh!
Alafu wewe Preta weweHii ni hatari sana..........
Nyie mnaokimbia panya road?
Wanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Alafu wewe Preta wewe
Usije Dar nakwambia