MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Mwanaume wa dar
nipo mrembo wanguMwanaume wa dar
Wanaume wa Dar wako tofauti kidogo.Hivi ni Dar tu ndo kuna wanaume?
kwa lipi?ukweli mchungu jirekebisheni bana
ndo wanamaanisha hivyoHivi hata sisi ambao tumekua huko mikoani lakini kwa sasa tupo hapa dar ni wanaume wa dar?
Mbona unatokwa sana na povu wewe??Af watu mnavyokomaa sasa wakati kutwa mnataman kuja dar ujinga umewajaa
wewe umezaliwa tandahimba hujawahi hata safiri utajuaje mambo ya dar? au ushabiki tu. Nyangema karibu sana darwanaume wa dar wanakojoa kwenye makopo ya maji wanaogopa kutoka nje kisa panya road duh
mlete mkeoGoli moja chaliii
Niletee mkeo au dadako nikuoneshe wanaume wa dar wakojemkuu unadiriki hadharani kujitaja kwamba wewe ni mwanaume wa Dar?